Hamisa Mobetto: Diamond anaweza akanioa

Hamisa Mobetto: Diamond anaweza akanioa

Hahahaa!sijawahi ona mwanaume mswahili kama huyu.

Mwanaume tena si mwanaume,mvulana huyu ana mambo ya ajabu sana
Ana mambo ila sisi wanawake ndo tunambeba utimu huu unamfanya afanye anachokitaka yaani anajua kabisaa hapa kuna watu watamshambulia hamisa,wengine wema, wengine jokate,wengine peny,wengine Zari hapo yeye roho kwatuuu!!kumbe kudhalilishwa anadhalilishwa mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadada wa JF kujifanyaga mna akili na kujua kuhandle mahusiano yenu na kushauri wengine halafu mara twaap Machuchu yenu na picha za utupu tunatumiwa humu.

Halooooooo....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] humu sisi wote watakatifu hatuibi mabwana za watu wala waume za watu
Siye hatuna side kid!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala tulio nao hawatupelekeshi kwa lolote. Wakituzingua tunawaacha right away sababu tuna pesa zetu😛😛😛
Yaani humu sisi hakuna wapenda pesa, humu sote wapenzi wetu hawatuyumbishi [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatuna mda yaani sio ving'ang'anizi jf watu watakatifuu jamani!!jf wote wamezaliw ndani ya ndoa,jf wadada wa humu hakuna hata mchepuko sote humu tu watu na ndoa zetu au mahusiano imara kabisaa!!raha mustarehe!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku mondi akikolezwa na konokono anaanza ooh hawa wote wanangu nawapenda,misa naye dushe likimkolea anaanza mashauzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kikinuka ndo hivyo sasa habari za kuitana sidechick
 
Usishangae kesho tu anasema tena tunamuonea wivu kisa kazaa na wanaume matajiri, matajiri my foot bora kuzaa na maskini lakin anakuheshimu kuliko kuzaa na tajiri lakini kutwa anakudharirisha tena kwnye media. Kinachoumiza zaidi eti anajuta kwanin hakutumia condom kuepusha kumpata huyo side kid 😅😅 so hata hayo malezi sidhan kama yanatoka moyoni kama mtoto wake anamuita hivy. #sosad
 
mtu ambaye anaweza kushukuru nyimbo yake mmesikiliza watu200k huku yy akiupromote wimbo wa mwanaume alomuacha wakat huyo mwanaume yy anamuita side chick namtoto walozaa anamuita side kid hiyo ndomana halisi ya pugi😂😂😂😂
 
Hiyo team ushuzi ndio inamtia kiburi na kumjaza uninga.
Mwanaume anayekupenda hawezi kukufanyia matendo kama anayofanyiwa yeye na huyo baby dady wake

Inzi akiacha ujinga iko siku anaweza tengeza asali
Hadi dada yake Mange Kimambi ameshindwa kumwambia ukweli? Hizi team zinawapotezaga mastaa kwa kuendekeza upambe bila hata kuwakosoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ah NINGEMFURAHISHAAAA!!
fallopian tubes zangu mama!!
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]ila diamond hapana side kid...I don't know aliwaza nini!naomba Mungu nipewe hekima hii hii!!na nisijepata side kid!!maana yaani kama hamisa atarudi kwa huyu mtu atakua mwehu loohh!Jana kawaita maside chick!Leo kaja na kima na genye zao ndo zimewapeleka kwake hao wanawake wote aliolala nao!!

Mimi nimemchoka huyu kakaa!hahaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]ila diamond hapana side kid...I don't know aliwaza nini!naomba Mungu nipewe hekima hii hii!!na nisijepata side kid!!maana yaani kama hamisa atarudi kwa huyu mtu atakua mwehu loohh!Jana kawaita maside chick!Leo kaja na kima na genye zao ndo zimewapeleka kwake hao wanawake wote aliolala nao!!

Mimi nimemchoka huyu kakaa!hahaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa akili za hamisa mbona atarudi tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom