Hamisa Mobetto: Diamond anaweza akanioa

Kabisa maumivu aliyojitaftia yatamtesa had uzeeni, hata Zari pia wema has nothing to lose hajazaa naye.
Hafu mond anawazalilisha baby mama zake kuupa wimbo wake kiki

Sent using Jamii Forums mobile app
U have a point my dear!!anawajua wote wanaishi kwa kumtegema yeye Zari anakaa nyumba ya daimond south kama boss lady angehama hamisa nae kapangiwa na mondi basi tafrani tupu

Wote hawana uwezo wa kuongea chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
U have a point my dear!!anawajua wote wanaishi kwa kumtegema yeye Zari anakaa nyumba ya daimond south kama boss lady angehama hamisa nae kapangiwa na mondi basi tafrani tupu

Wote hawana uwezo wa kuongea chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
Nawahurumia ka wanawake wenzangu mtu uji sacrifice maisha yako, afya had mwili kumzalia mtu then asikuheshimu eeeh inaumiza sana, huyu mond IPO siku atakuja kulipa ka babake anavo suffer aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama ndio shida ya dyudyu jamani mbona wanawake wazuri sana kwa nn wasimgomee
Wamgomee wataishi wapi!! Wote wanakaa kwake Zari anasema ana nyumba ila anakaa kwa mondi na ukoo wake wote south hukoo!!ha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tajiri hana nyumbaa!!

Hamisa ndo walewale haya wamgomee wana maisha!!!shunie usisemee ndugu yangu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Seems diamond alienda kwa Zari kumbembeleza ampe k sasa Zari kamnyima ndo Diamond katoa video akiwa na wema. Anavowazalilisha tu inaonyesha hana Amani so ndo anafikiri akifanya HVO anajipunguzia maumivu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yule alijua Zari atampa kirahisi papuchi arudishe kick sasa mwenzie kasema its done now kama kudhalilishwa umenionesha rangi zote now baasi ndo hayo yote anayaongea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Team ushind hatuna kigeugeu geu kutwa kutaja jina la tusiempenda na mboyoyo kibao,tunapiga pale panapouma tu hatunaga kupaisha majina ya wasiohusika na sakata la sidechick

Ila Zari anapendwa jaman uzi mzima zari zari hadi raha,nyumba ya sauz inawaumiza wengi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ameeeen
Hukeri mama nipo upande wako ....Mimi ni team zari Leo na kesho peponi ........

Tuseme ameen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule alijua Zari atampa kirahisi papuchi arudishe kick sasa mwenzie kasema its done now kama kudhalilishwa umenionesha rangi zote now baasi ndo hayo yote anayaongea

Sent using Jamii Forums mobile app
Zari hapo kumfungia vioo kanifuraisha sana huyu hafai anazalilisha mno wanawake, ingawa dai anajifanya strong ila michaganyo ya mahusiano inamuumiza kakonda hata ukimuona usoni una notice something wrong. Kina Hamisa wanamchekea sana kiki alobaki nayo ni kuzalilisha baby mama, Zari amkomeshe mpaka anyooke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah na alikua sharp sana kuweka video akiwa chumban na akina tiffa,alidhan zari ni kama akina sidechick kuwachezesha threesome kumbe ile familia inajielewa,alianza dada mtu kukanusha mahusiano kurudi,zari akaja malizia kabisa,imemuuma sana jamaa.(pesa zote zimeishia kwenye shopping ya watoto huku birthday mama ndo mwenye uamuzi wa mwisho inauma sana)
Seems diamond alienda kwa Zari kumbembeleza ampe k sasa Zari kamnyima ndo Diamond katoa video akiwa na wema. Anavowazalilisha tu inaonyesha hana Amani so ndo anafikiri akifanya HVO anajipunguzia maumivu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wao pia si ni watafutaji jamani wamgomee tu
 
Hihihihihihihih nacheka kifilipino hapa nasoma comments naishia kusema hiiiii hivi ile range ya zari ni sh ngapi jamani ....maana kukaa kwenye ile nyumba isiwe sababu ya kusema zari hana pa kukimbilia .......ile nyumba anakaa sababu ya mitoto ile ya dai ...unadhani zari isingekua vile vifaranga vya chibu angekaa pale!!! Si angejiendea zake kukaa kwenye nyumba walizonunua na marehemu mumewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zari kanifuraisha kumkomesha aisee, she is not that cheap, anajua thamani yake na hapendi kuzalilishwa, kwanza zari alimkomesha dai alitaka kufamfanyia tiffah birthday ili apate kiki, ndo kwanza zari akaenda Uganda, sasa kina Hamisa na nyumbu waendelee kumchekea mtu anaitaje mwanawe sidekid jomoni,
Zari amnyooshe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…