Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
U have a point my dear!!anawajua wote wanaishi kwa kumtegema yeye Zari anakaa nyumba ya daimond south kama boss lady angehama hamisa nae kapangiwa na mondi basi tafrani tupuKabisa maumivu aliyojitaftia yatamtesa had uzeeni, hata Zari pia wema has nothing to lose hajazaa naye.
Hafu mond anawazalilisha baby mama zake kuupa wimbo wake kiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Wote hawana uwezo wa kuongea chochote
Sent using Jamii Forums mobile app