Jemedal_bin_chichi
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 542
- 585
Ujasikia kias hicho kukanushwa na mama wa mtoto!?Hahahahaa!! Sasa litafika mahakama ya Kisutu kwa mashitaka yapi?! Kwamba aliahidiwa ndoa, au?! Bila shaka hiyo itakuwa ni kesi ya karne!!!!
Jambo linaloweza kufika Kisutu labda suala la child support! Mbaya zaidi Diamond ameshasema anatoa 200K kwa mwezi ambayo ni more than 100% above legal amount!! Na Diamond akisema anatoa above legal amount naweza kukubali kwa sababu, the guy anajua sana ku-care!
Kiasi kipi? Cha laki 2, au?! Hivi unaamini kabisa Diamond anaweza kuacha kumuhudumia mwanae?! Si bora basi angekanusha suala la kununuliwa gari inge-make sense!!!Ujasikia kias hicho kukanushwa na mama wa mtoto!?
Subir habar kamili itakufika juma tatu,
Na mimi naamini kwamba sio mjanja! Hamisa angekuwa mjanja angeendelea kuzila za Diamond kimya kimya coz' there's no way siri ya Hamisa kuzaa na Diamond ingedumu japo kwa mwaka mmoja!Wala sio mjanja labda ni jinsi mnavyo muona usoni...!.majizo nae alimuonesha mji...
Mh 75% to hiyo ndogo ni 99%. Hilo ni fundisho kuwa wanaume waache uongo!Hivi kuolewa nako ni deni?!
Kumbe Diamond yupo sahihi kusema "no matter what, siwezi kuachana na Zari!" Manake best option katu haiwezi kuwa mwanamke anaypigania ndoa manake hiyo nayo ni dalili ya kutaka kuifanya ndoa ndio mtaji wako!!!
Mwanamke anayejitambua na kujiamini tena katika umri mdogo kama wa Hamisa, katu kuahidiwa ndoa hakuwezi kuwa hoja ya kujadili hadharani kwamba "aliniahidi ndoa."
Hapa sasa naanza kuuona ukweli wa aliyosema Diamond kwamba Hamisa alikuwa anamfanyia vitimbi Zari kwakuwa aliahidiwa ndoa!
Hivi mpaka leo hii hafahamu kwamba kati ya 100% ya wanaume ambao hawajaoa, zaidi ya 75% wameshawahi kuahidi ndoa?
Tushangae wote mkuu....kaahidiwa ndoa akakinga mimba. looh poor gal! Ila ndio kawaida ya akili za wakina dada wengi siwezi mlaumu.
Wahenga hawakukosea kusema binti akiwa mzuri bila akili ziumiazo ni sehemu nyeti. Ina maana hadi leo hajajua kiwe wengi hutafuta mbunye kwa gia ya ndoa, na hadi leo hajaweka rekodi wangapi wamemla kwa ahadi hiyo?Wasalaam wana jamvi!
Jumatatu kuanzia saa saba mchana Ndug Hamisa Mabeto atafunguka kupitia Clouds Fm kwenye kipindi cha XXL!Hii.imekuja baada ya mzazi mwenzie Diamond Platinumz kufunguka wazi na kueleza mengi kuhusu wao na kumkana hadharani japo alimkubali mtoto...
Moja ya mambo yaliyo mkera Hamisa ni kitendo cha Diamond kusema hawakuwa na ahadi yeyote ile wakati ukweli ni kwamba Diamond Platinumz alimuahidi kumuoa kabisa na ndio maana alikubali kutembea nae na anasema Diamond alisema anampenda yeye kuliko Zari!
Pamoja na hilo Hamisa anakuja kukanusha kuhusu mambo mengi aliyo yasema Diamond hasa ya kusema alikuwa anampa kila siku elfu 70+ na kumkubali mtoto toka mwanzo...jambo ambalo Hamisa anasema ni urongo...
Sasa anasema jumatatu atasema mengi na atasema kila kitu na kuhusu aliyekuwa ana record video zao na aliyekuwa ana husika kuzivujisha....
Wana jamvi naomba niishie hapa na tusubiri jumatatu saa 7 clouds Fm.
NB: Huu unaweza kuwa mwaka mbaya kwa Diamond maana Hamisa anakuja kumwaga mboga na kutoboa masufuria kabisa...
Wale ambao hampendi habari za Diamond na Zari nawashauri.msitumie Smart phone mpaka mwakani maana hii iliyobaki ni ya habari zao tuuu...
Wasalaam...
HAHAHAAA DIAMOND KAMA MAJI VILE,USIPOYANYWA UTAOGEA AMA UTACHAMBIA.Wasalaam wana jamvi!

Kabisaaaaa yaani huyu Dada anajaribu kutuconvice lakini kuzaa au kutokuzaa ni uamuzi Wa mwanamke kwataarifa yake ni hivii wanaume hutumia kila mbinu ili tu aione nyapu yako tu, apime kina tu bac. Japo c woteHana lolote huyo...
Atazidi kujichora tu.
Sio kichaa... Akalala na mume wa mtu
Kondoms sh. 500 akaliwa kavu.....
Siku zake za hatari anazijua....akagawa peku
......
Inabidi uwe kichaa wa kiwango cha Makinikia kumsikiliza na utetezi huo...." eti kuolewa"!!!!?
NAKUTUMA.... MWAMBIE HAITA KIKI..
Kuna kizee kimoja kinajiita nyani hakipendi kabisa kinatamani mpk kulia akiskia hizi mamboWasalaam wana jamvi!
Jumatatu kuanzia saa saba mchana Ndug Hamisa Mabeto atafunguka kupitia Clouds Fm kwenye kipindi cha XXL!Hii.imekuja baada ya mzazi mwenzie Diamond Platinumz kufunguka wazi na kueleza mengi kuhusu wao na kumkana hadharani japo alimkubali mtoto...
Moja ya mambo yaliyo mkera Hamisa ni kitendo cha Diamond kusema hawakuwa na ahadi yeyote ile wakati ukweli ni kwamba Diamond Platinumz alimuahidi kumuoa kabisa na ndio maana alikubali kutembea nae na anasema Diamond alisema anampenda yeye kuliko Zari!
Pamoja na hilo Hamisa anakuja kukanusha kuhusu mambo mengi aliyo yasema Diamond hasa ya kusema alikuwa anampa kila siku elfu 70+ na kumkubali mtoto toka mwanzo...jambo ambalo Hamisa anasema ni urongo...
Sasa anasema jumatatu atasema mengi na atasema kila kitu na kuhusu aliyekuwa ana record video zao na aliyekuwa ana husika kuzivujisha....
Wana jamvi naomba niishie hapa na tusubiri jumatatu saa 7 clouds Fm.
NB: Huu unaweza kuwa mwaka mbaya kwa Diamond maana Hamisa anakuja kumwaga mboga na kutoboa masufuria kabisa...
Wale ambao hampendi habari za Diamond na Zari nawashauri.msitumie Smart phone mpaka mwakani maana hii iliyobaki ni ya habari zao tuuu...
Wasalaam...
[HASHTAG]#getwellsoonlissu[/HASHTAG] [HASHTAG]#pray4lissu[/HASHTAG]Tusisahau kumwombea lissu jaman
Mume wa mtu ????????Hana lolote huyo...