Jemedal_bin_chichi
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 542
- 585
Ujasikia kias hicho kukanushwa na mama wa mtoto!?Hahahahaa!! Sasa litafika mahakama ya Kisutu kwa mashitaka yapi?! Kwamba aliahidiwa ndoa, au?! Bila shaka hiyo itakuwa ni kesi ya karne!!!!
Jambo linaloweza kufika Kisutu labda suala la child support! Mbaya zaidi Diamond ameshasema anatoa 200K kwa mwezi ambayo ni more than 100% above legal amount!! Na Diamond akisema anatoa above legal amount naweza kukubali kwa sababu, the guy anajua sana ku-care!
Subir habar kamili itakufika juma tatu,