Hamisa Mobetto kufunguka Jumatatu na kueleza jinsi Diamond alivyo ahidi kumuoa

Sasa uwe mwaka mbaya kivip sasa wakati anamupa umarufu ww,mwanaume hazeeki ww acha ajikombe huyo dem
 
Mwanaume gani anakutongoza na kukwambia ukweli? Aliambiwa atamuoa ili apate papuchi,alivyozaa na majizo aliahidiwa nini?
 
Juzi tulikua busy na mond na yeye anataka tuwe busy nae j3.

Ngoja nisikilize hiyo j3 tatizo mond ile juzi alimlaumu mwenzie sana ila yeye aonekane msafi
Ndo mana lebo yake ikaitwa Wasafi
 
ujinga wa haya mambo anaweza akaenda kwa nia ya kuweka mambo sawa ila mwisho wasiku akajikuta anazidi kuharibu. Kuongea kipaji
 
Mh 75% to hiyo ndogo ni 99%. Hilo ni fundisho kuwa wanaume waache uongo!
Sasa ni fundisho kwa wanaume au wanawake?! Kwanza dunia ya leo ukiona mwanamke anaachia papuchi eti kisa ameahidiwa kuolewa basi huyo mwanamke atakuwa ni miongoni mwa wanawake wa hivyo kabisa!!

Kuna mtu nilishawahi kumwambia kwamba ukitaka kutoa papuchi wewe toa tu kwa starehe zako lakini isiambatane na masharti na ukitaka kuibania; ibanie sawa sawa lakini sio unaibania kama namna ya kushinikiza jambo!

Kuna wanawake bado wapo zama za ujima! Kwamba eti akitaka akupe kajitambulishe kwanza nyumbani; pumbaafu! Mi demu aniambie tu kwamba papuchi yake haitoki hovyo hovyo kama karanga za kuonjesha, nitamwelewa mara 10M kuliko kunipa masharti hususani yale yanayoambatana na kuji-commit!
 
Asante Diamond kwa kunipa trick ya kuwapata madada Wa mjini... Nitakuwa natumia gia ya nitakuoa mwaka kesho ..


Eeh mungu nisaidie
 
Mwache ashupaze shingo! ni upuuzi tu ndo unamsumbua, wale shoga zake wanaomjaza kiburi wanashindwa kumshauri mema ajue siku akimwagwa watamcheka.For the sake of that boy,better to keep quite. Chambilecho kwani ndoa lazima! At the end of the saga she will be the loose!"!"""
 
Kama Zari alikanusha aliyosema Mondi papo hapo, basi kuna uwezekano kuwa Mondi kasema uongo sana kuhusu Hamisa.
Kipi hasa cha maana alichokanusha?! Kwamba hana tatizo na Zari, au?!

Kuna vitu vingine unaweza kutumia common sense ukaamini alichosema muhusika na hata kama ni cha uongo hakiwezi kuwa mbali sana na ukweli.

Kwa mfano, Diamond anafahamika sana kwa kujua ku-care! Kwahiyo hata kama hakuwa akimpatia 70K daily, still I believe alikuwa anampatia kiasi.

Hata kama hakulipa 7M kwa ajili ya operation still I believe kuna kiasi alilipa!!

Kwamba child support analipa 200K ni jambo ambalo siwezi kuwa na shaka nalo hata kidogo kwa sababu hata sisi maskini hatuwezi kushindwa kutoa kiasi kama hicho in favor of child support!

Na inawezekana kabisa hata hiyo gari alimnunulia!!!

Lakini tukitumia utetezi wa Diamond kuhusu Zari! Swali je, unataka kusema kabla ya interview ile Zari alishamwaga manyanga rasmi? I don't think so!

Kama sio, kwanini Zari alitoka povu?!

Hapo ndipo unapokuja ku-make sense utetezi wa Diamond kwamba ingawaje alishaongea na Zari, lakini hakuwahi kumwambia gharama anazotoa kwa Hamisa!

Katika hali ya kawaida, hakuna mwanaume anayehudumia nje halafu akamwambia ukweli mwanamke wake wa ndani kwamba anatoa kiasi kadhaa wa kadhaa kwa mchepuko; HAKUNA!

Na kama hakuna, basi pia kuna kila dalilia gharama zile alizotaja Diamond bila kujali kama ni za kweli au si za kweli; kwa mara ya kwanza Zari ndo alizisikia pale!!!

Sasa katika mazingira kama hayo utashangaa Zari kuja juu?! Hivi hawa wanawake si huwa wanawafanya waume zao wawe wanatoa misaada kwa ndugu wa damu kwa kujificha kabisa! Na kama mwanaume mwenyewe hajiamini, anamwambia kabisa ndugu yake kwamba "hii pesa niliyokupa shemeji/wifi yako asijue!"

Sasa ikiwa kwa ndugu tu wanawake huwa na mtimanyongo; what anaposikia zinatoka za kutosha kwenda kwa mchepuko?!
 
Kweli kua uyaone unalalamika kabisaa mbele za watu nimempa mbunye kasema atanioa kweli wanawake hamnazo [emoji23][emoji23][emoji23]so 2010 alivyompa mbunye aliadiwa nini atapelekwa Afaghanstan akawe msaaidizi wa Osama????hata sijui kwanini mungu mara nyingi huumba wanawake wazuri wa sura kichwani watupu.
 
Mwenye kujua Elimu ya Mobeto ,anisaidie !!!.


Its a shame Mdada kama huyu kutumia ahadi ya kuolewa kutafuta huruma ...


KWAN HUYU MTOTO ALOZAA NA DIAMOND NDIO WAKE WAKWANZA AU ????
 
Siku zote moto wa kibatali kamwe hauwezi ivisha sufuria la ubwabwa. H. M, jitafakari kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…