Hamisa Mobetto kufunguka Jumatatu na kueleza jinsi Diamond alivyo ahidi kumuoa

Mimi nadhani tusubiri tumsikie mtuhumiwa akisema ya upande wake, siku zote msema pweke mshindi.

Mondi alisema amesha settle hiyo ishu na Zari na wapo cool, ila Zari si amekanusha.
 
Huyu mama bora tu abargain na boss waende sawa, kila kitu kiwe poa. Akitaka kumtoa nishai kutafuta sifa inaweza kula kwake maana kuwa vita na mtu unayetegemea akusaidie kiuchumi ili uonekane shujaa Instagram ni ulofa
 
Mwenye ako na CV ya Mobeto atupie tafadhal,

Huyo ni form four sijui division ngapi kapata alipomaliza akawa anapenda umodel huku pia ni video queen (ukiwa na duka la nguo mtafute)huku anadanga mjini kama kawaida akapata chance kwa majizo akafyatua katoto kazuri kakike sahv kapata kwa mondi kafyatua handsome boy
 
Pissing competition! Huyo Diamond wenu alifanikisha nini kwa kwenda kukiri hadharani kwamba mtoto wa Hamisa ni wake? Ukiwa na hela halafu huna akili bhana!
 
Kwani ukiahidiwa ndoa lazima uolewe? Basi nafikiri mm ningeshaolewa kitambo sana.
 
Mwenye kujua Elimu ya Mobeto ,anisaidie !!!.


Its a shame Mdada kama huyu kutumia ahadi ya kuolewa kutafuta huruma ...


KWAN HUYU MTOTO ALOZAA NA DIAMOND NDIO WAKE WAKWANZA AU ????
Unless awe ameunga unga na vi-certificate vinavyopatikana kila kona ya Kariakoo lakini formal education aliishia kidato cha nne, Tandika!
 
Mimi nadhani tusubiri tumsikie mtuhumiwa akisema ya upande wake, siku zote msema pweke mshindi.

Mondi alisema amesha settle hiyo ishu na Zari na wapo cool, ila Zari si amekanusha.
Nakubaliana na wewe kwamba tusubiri upande wa pili wa shilingi! Hata hivyo, hoja yangu ni ile ile ya Diamond kwamba, hata kama walishakuwa cool, kwa gharama zile alizotaja Diamond bila kujali kwamba ni za kweli au si za kweli, hiyo cool na Zari lazima ingetoweka tu! Ni mwanamke gani anapenda kusikia bwana/mume anatoa mipesa hiyo kwa "hawara" yake wakati hawa wanawake hata wakiona mwanaume anatoa huduma kwa ndugu, bado kwao ni nongwa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…