Hamisa Mobetto kumbe ilikuwa kiki ya wimbo mpya

Hamisa Mobetto kumbe ilikuwa kiki ya wimbo mpya

kapuku94

Member
Joined
Nov 7, 2018
Posts
66
Reaction score
69
Akuna cha bwana mpya Wala nini . hamisa kawa weza mashilawadu wa tz. Kumbe alikuwa anatafuta attention ya nyimbo.
Yule jamaa mcheza nondo ya kikapu katumika kama video visk .

 
Hamisa ndio nani, anaimba kitu gani, kaswida au gospel?

Kama ni muimbaji mzuri mshaurini ahamie kwenye vigodoro vinalipa sana kwa sasa maana nasikia hata rose muhando ana andaa albam yake.
 
Nchi inapelekwa kise.nge anakuja lafa mmoja anatunga kibao cha kinaa kama hicho, nyambaaf
 
Back
Top Bottom