Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzi unakimbia hataree lol
 
Mwanaume ukiwa nacho bana...huyo Jamaa angekuwa Kuli pale bandarini Hamisa angekuwa tu anamsoma mitandaoni kama mimi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huo ndio ukweli
 
Milly aka mwamvua Leo utakunya bogaaa
Ulidanga dubai weeeee ukaambulia kutolewa mimba sasa Leo naona una uchungu na hamissa kweli...eti ooh anaaibisha nchi eti ooh atapigwa tukio kwani unamhurumia wewe mama yake? Chuki tu zimekujaa. Leo hii mwanamke gani wa tanzania apate japo seconds ya kusalimiwa na riki Ross atakataa??
Umeniblok kule ila salamu zako umezipata
Leo ni Hamisa Day wengine kalisheni makalio.
 
Kwa hizi hasira za wanaume juu ya Hamisa, no wonder na wenyewe wanaamua kutoa ndogo, yaani nilidhani wanawake ndio wawe na wivu kwa mwanamke mwenzao ajabu ni wanaume ndio wanakua na wivu kwa mwanamke,
Lol

Maajabu hayawezi kuisha Tanzania yangu.
Punguza hasira na mawazo[emoji2]
 
Mkuu umeandika haraka haraka sana.
Mkuu nilitaka kumaanisha jambo moja kuna siku npo na wamba tunapata vyombo tunadiscuss maisha yalivyobadilika hiyo kauli yako ya kwamba tushukuru kuzaliwa na wa maza kale inamsingi mkuu sana yakutufanya hivi tulivyo kiiUTU..

Picha angalia jinsi tulivyoogeshwa kwanza
1174466_Oga.jpg
2378410_FB_IMG_1587637213471.jpg
 
Some people wanapenda kuzalilisha wengine Ili kujipatia relief ya machungu moyoni na jf ni only place ya kusemea
Nice one....

Tatizo pia, hawajawahi kuexperience love katika maisha yao, such hostility ni matokeo ya dunia kuwa treat with hostility...JF send love wala tusiwape nafasi watu distract na bitterness yao 🙏☝️
 
Ngoja na mimi niuze magunia ya ufuta nika enjoy Huko dubai[emoji16]
 
Kwa ubishi wa binadamu wa siku hizi...

Watakuja kusema hiyo ni adobe after effect...
 
Back
Top Bottom