Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Nichukieje??!!! Mbona hueleweki[emoji849][emoji849][emoji849] kwanza sina mazoea naye huyo demu na sina haja ya kumjua, ila naongea nachokiona huyo demu anadanga mbaka aibu kwenye show ya fally niligundua tu huyu anajiuza kabisaa
Sasa akidanga wewe inakuuma nini jamani, K si yake?? Pesa si analipwa? Familia inapishana chooni, adange Hamisa aibu uone wewe wapi na wapi??

Chokodari!!?? Au umemuonea wivu mrembo wa watu?? You wish ungekua wewe hapo Dubai [emoji23] pouleeee tatizo * lol
 
Huyo choko asikupotezee muda, ukiona mtoto wa kiume kila post anamsifu mwanaume mwenzake na kujikomba ujuwe hapo bahati mbaya siyo riziki.

Huyo bwege ana tofauti gani na Baba Levo?
Msitukanane jamani kila mtu aheshimu mawazo ya mwenzake
 
Ndio maana warembo wakali wa mjini hawawataki masela njaa.....

Kizazi kipya na kusujudia sana ULWA.....🤣
 
Haya sasa wambea wote wa mjini wamehamia Dubai baada mdada wa mjuni aka slay Queen kwenda Dubai ka bataa ghafla bin vuu Jana mapichapicha yameanza yuko na msaani na mwanamuziki wa Kimarekani mzee baba Rick Ross full mahaba, mahabani,imepekekea mpk pages maarufu za umbea dunia km shaderoom chamber kumposi Mobeto na Huyo anaesadikika kua mpenzi wake mpya Rick Ross....
Mwanzo watu walidai kapelekwa na Yule mbunge wa kuleee kwa Mkoa wa ....kumbe mwenzao walaa yuko na new bebe duniani..

Mnaambiwa ukitaka kula nguruwe kula aliyenona. Naona Dada zetu wanatuwakilisha vzr kaanza vee mapesa ,sasa hivi Mobeto,sijui next ni nani...

R.I.P warumi...!!we fill the void....!!!
We are.
Dah.
 
Akirudi msiache kwenda mpokea uwanja wa ndege....wabongo nani katuroga masikini
 
Nyieeeee..nayapenda haya mambo mimi[emoji28][emoji28][emoji2297][emoji2297].

Uzi tayari
Screenshot_20211126-214545_Instagram.jpg
 
Hii nchi mnamiliki wivu hata kwa msioweza kuwavua ¢hupi...😂
 
Back
Top Bottom