Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Iliwapitia kina nan? Na wewe ulikua wapi kujua kuhusu hiyo idadi ya waliopitiwa? Are you him or them?. Ebu acha kuzingua unachokiona cha thamani wewe mwingine anaona uchafu mtupu. Kuna watu wana maisha huo unaousema wewe ni ulimbukeni na ushamba tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mpendwa huyo unayejibizana nae ana ubongo wa kuku 😀😀😀
 
Haya sasa wambea wote wa mjini wamehamia Dubai baada mdada wa mjuni aka slay Queen kwenda Dubai ka bataa ghafla bin vuu Jana mapichapicha yameanza yuko na msaani na mwanamuziki wa Kimarekani mzee baba Rick Ross full mahaba, mahabani,imepekekea mpk pages maarufu za umbea dunia km shaderoom chamber kumposi Mobeto na Huyo anaesadikika kua mpenzi wake mpya Rick Ross....
Mwanzo watu walidai kapelekwa na Yule mbunge wa kuleee kwa Mkoa wa ....kumbe mwenzao walaa yuko na new bebe duniani..

Mnaambiwa ukitaka kula nguruwe kula aliyenona. Naona Dada zetu wanatuwakilisha vzr kaanza vee mapesa ,sasa hivi Mobeto,sijui next ni nani...

R.I.P warumi...!!we fill the void....!!!
Sure huu Uzi bila neno la warumi.......pain
 
Rick rose hii picha lazima tumtumie[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
1637942232110.jpg
 
Umasikini wako ndio unakufanya umsifie Mwanume mwenzako humu kila comment yako,tafuta hela ili uache kumsifia mwanume mwenzako na uache kuamini kua ukiwa na hela basi utampata Mwanamke yeyote yule,

Uwezo wako wa uelewa na kuchambua mambo ni mdogo sana,una akili za kitoto na IQ yako ipo below zero ndio maana hata unachokiandika hakieleweki.
Bora umeona mkuu haeleweki comment zake huyu itakuwa si mzima
 
Weuweeee!!!maisha mafupi hayaa[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]!!!!

Habari ndo hiyoo!kama mtu hataki ajambeee!!
Mobeto kawauma roho sana watu!team tukinao,team dangote,team upupuu zoteee..fyekelea mbelee!mji umepoa!huu!
Yaaanii naimajini bahati ingemwangukia zari ingekuwajeee
 
Back
Top Bottom