TADPOLE
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,914
- 9,472
Dah mwanangu Matola unakuwaga mbishi bila sababu za msingi sijui ndo kujifanya mjuaji au tu ni kwamba hutaki mawazo ya wengine but anyways ipo hivi...Acha kudanganya watu, unaijuwa system ya Marekani wewe?
Mtu ambaye source zake za income ziko wazi unaweza kukwepa vipi child support?
Uliza vizuri labda USA River hiyo, na siyo United States.
Rick Ross ameburuzwa kortini mara mbili kuhusu ishu za child support na mababy mama wake kwanza ilikuwa TIA KEMP baadae akaja Brianna singleton hizi kesi zote mpaka Rick Ross amekubali kulipa ilikuwa kwa mbinde sana mahakama ya mji wa Carol city..sijasema kama anakwepa child support but ni msumbufu sana kesi na baby mama wake Brianna ilichukua miaka mitatu from 2018 to 21 imagine hapo miaka mitatu wanavutana tu mpaka mwaka huu alipokubali