Haya sasa wambea wote wa mjini wamehamia Dubai baada mdada wa mjuni aka slay Queen kwenda Dubai ka bataa ghafla bin vuu Jana mapichapicha yameanza yuko na msaani na mwanamuziki wa Kimarekani mzee baba Rick Ross full mahaba, mahabani,imepekekea mpk pages maarufu za umbea dunia km shaderoom chamber kumposi Mobeto na Huyo anaesadikika kua mpenzi wake mpya Rick Ross....
Mwanzo watu walidai kapelekwa na Yule mbunge wa kuleee kwa Mkoa wa ....kumbe mwenzao walaa yuko na new bebe duniani..
Mnaambiwa ukitaka kula nguruwe kula aliyenona. Naona Dada zetu wanatuwakilisha vzr kaanza vee mapesa ,sasa hivi Mobeto,sijui next ni nani...
R.I.P warumi...!!we fill the void....!!!