Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Kwa mara ya kwanza naona Wanaume wengi hapa JF wanatokwa povu kwa penzi la Misa kwa Richforever! Wanaanzisha kila aina ya Thread za kumponda Misa,mara kutafsiri mashairi yake Ross kisha wanayapa picha ya Hamisa,nilidhani ni Watandale tu Wamenyooshwa,kumbe ni wengi tu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] missa ana balaaa
 
Wajinga hao na hawajielewi mtu timamu akitoka na mtu ana mute Sasa wao wanatafta taarifa na kuanza kusanua humu Ili iweje ifike mahali wapigwe life ban, shida wengi ushamba na stress za life. Kuna mmoja huja pm huku namchora alivo mzalilishaji namtamani siku nimfunge jela kabisa loh
nani huyo ana kiss and tell?
 
Huu uzi umewatoa mafichoni wanawake wengi sana waliokua kimya humu


Ila izi coment za wanaume wenzangu zinafikirisha sana....
 
Huu umbea ungeanikwa na warumi kila rangi tungeona.
Hizo ndev za rik ros ni blanket tosha
 
Kwa hili wanawake wote wa tanzania tumekuwa wamoja ila kwa asilimia kubwa makasiriko wanayo wanaume....sjui kinawauna nini
 
Hili swala limewauma sana wanaume wa bongo mana design kama limewadharaulisha na wanawake wa bongo kwa kufata mkumbo wataanza kuwakataa[emoji23]

msiseme wanaume wa bongo,semeni wavulana mashabiki wa wcb[emoji16][emoji16]

tuheshimu matabaka jamani.
wao wanaamini hakuna mwanaume kama diamond duniani.
 
Back
Top Bottom