cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] missa ana balaaaKwa mara ya kwanza naona Wanaume wengi hapa JF wanatokwa povu kwa penzi la Misa kwa Richforever! Wanaanzisha kila aina ya Thread za kumponda Misa,mara kutafsiri mashairi yake Ross kisha wanayapa picha ya Hamisa,nilidhani ni Watandale tu Wamenyooshwa,kumbe ni wengi tu[emoji23][emoji23][emoji23]