Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Akafanye sajari ya ngozi kwanza...imenyauka mno. Labda ahangaike kutafuta pensionists ambao hata meno hawana kama yule kili janga shogake mange aka mama sunshine sijui
Alishafanyaga mbona enzi hizoo!aliharibikaga sana na mikorogo ya maimatha...alifanya China alitumia almost 13 m alisema
 
Akafanye sajari ya ngozi kwanza...imenyauka mno. Labda ahangaike kutafuta pensionists ambao hata meno hawana kama yule kili janga shogake mange aka mama sunshine sijui
Alishafanyaga mbona enzi hizoo!aliharibikaga sana na mikorogo ya maimatha...alifanya China alitumia almost 13 m alisema
 
Mrembo na mwanamitindo Hamisa Mobetto na staa wa hip hop kutokea Marekani, Rick Ross wakijiachia Dubai kwa mara ya kwanza na kuweka wazi mahusiano yao.

Kupitia Snapchat Hamisa ame-share picha akiwa amevaa t-shirt ya Rick Ross aliyokuwa amevaa wakiwa club.

oohoooooo!!! amemkubalia huyo mnyama Ricky roseee mmarekani??????"!!!!!

huyo hamisa akirudi na marinda kuku watazungumza, na mbuzi watabweka, yani hapo tyari ku.ndu la mtu hoi, nyang'anyang'a.

wanawake tamaa za pesa zitawafanya kitu mbaya sana, kuweni makini.
 
[emoji23][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23]pole ndo wanaume wa dar hao!aka maanti
duh!! skuiz wanaume wa dar wanaitwa maanti loh!!! idadi ya wanawake inazidi kuongezeka kwa kasi.

Sasa wote wakiwa wanawake wanaume watatosheleza idadi ya ke kweli? au ndo mambo ya kuanza kugombaniana wanaume tena? aiseee!!!!!
 
Yaani yote hii ni kwasababu tu Hamisa kasadikiwa kalalwa na huyu mmanyema wa USA?

Sasa mlitaka awe analalwa na akina Chibu na majizo tu ?
Muacheni mtu apate exposure
 
View attachment 2025435

Karibu kila nyimbo rick ross huwa anajisifia kuwa na bitches (malaya) wengi ambao huwalipa kiasi ili kupata huduma, na huu ni utamaduni wa wasanii wengi sana wa Marekani. msanii anaweza kumlipia bi#*h wake tiketi ya ndege, nguo, make up, kucha, n.k na kumhonga hata milioni 10 ya ziada ili tu ale nae bata usiku mzima, kukipambazuka stori imeisha yani, ila akimuhitaji tena wala haoni shida kulipia, kumbuka hawa wasanii wameajiri hata watu wanaowanyongea miskoto ya bangi, kwa hio kwao hizi pesa za bata hawajivungi.

Haya ni mashairi yake kwenye kazi zake kadhaa, pia yametafsiriwa kwa kiswahili

Rick Ross & Birdman - i got a bitch"


Bitch, ain't it nothing but some motherfuckin' money over her
You understand me?
So you already know what time it is
You feel me?
You know what a nigga need baby
I ain't gon' play with ya
Don't waste my time, won't waste yours
Ya feel me? Cause I have enough hoes
Get in line


TAFSIRI.......

-malaya, hakuna cha ziada anachotaka zaidi ya pesa
-umenielewa?
-baby, nadhani unajua tayari ni muda wa shughuli flani
-umenipata?
-unajua tayari muhuni nachotaka.
-sina muda wa kucheza na wewe
-usipoteze muda wangu, nami sitapoteza muda wako
-umenipata? nina malaya kibao usidhani uko peke yako
-haya anza kuwajibika.


RICK ROSS - SAME HOES - hapa aliweka wazi kwamba malaya pekee anaoweza kulala nao ni wale wanaolala na wasanii wakubwa tu.


Me and Pushat T, we f*#k the same hoes
Me and TIP, we f*#k the same hoes
Me and Chris Brown, we f*#k the same hoes
The same hoes
The same hoes
Me and Justin Bieber f*#k the same hoes
Me and Snoop Dogg, we f*#k the same hoes
Me and Yo Gotti f*#k the same hoes
The same hoes
The same hoes


TAFSIRI.......

-Malaya anaolala nao msanii maarufu Pusha T na mimi nalala nao
-Malaya anaolala nao msanii maarufu T.I na mimi nalala nao
-Malaya anaolala nao msanii maarufu Chris Brown na mimi nalala nao
-ni wale wale
-ni wale wale
-Malaya anaolala nao msanii maarufu Justin Bieber na mimi nalala nao
-Malaya anaolala nao msanii maarufu Snoop dog na mimi nalala nao
-Malaya anaolala nao msanii maarufu Yo Gotti na mimi nalala nao
-ni wale wale
-ni wale wale


French Montana ft rick ross - Pop That

I'm the life of the party, let's get these hoes on the Molly
You know I came to stunt, so drop that pussy, bitch
I got what you want, drop that pussy, bitch (Woo)
Film it, film it, this bitch want me to film it
Ballin', ballin' like I play for New England
Spend it, spend it, spend a stack every minute
That's 50... one hundred, I see no fuckin' limits
Shout out to Uncle Luke (Huh)
Shout out my bitches too (Huh)
We the 2 Live Crew
Two for me, two for you (Woo)
Feed them bitches carrots (Huh)
JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala em like a rabbit

Sorry that's a habit, smoke a spliff and then I vanish

TAFSIRI.......

+Ninaishi maisha ya kula bata, nawalewesha malaya zangu kwa madawa
-unajua nimekuja kuburudika, nipe uchi wako
-ninacho unachohitaji (pesa), nIpe uchi wako
-malaya wanapenda kujirekodi video wakiwa na mimi
-nakula bata sana tu
kwangu pesa sio shida
-shilingi laki 1, laki 2, natketeza ndani ya dakika
-nawapa hai malaya wangu wote
-nikiwa na washkaji zangu, tunawapiga mtungo
-tunawalisha karoti kama sungura (fumbo la sehemu za siri)
-mnisamehe lakini ndio tabia yangu
-nikimaliza shughuli, navuta kipisi cha bangi naishia zangu


Nadhani hamisa kaweka mategemeo makubwa sana juu ya huyu muhuni alietukuka kutoka jiji la Miami, mbaya zaidi kaweka hadharani saundi alizopigwa na mhuni kwamba atakuja kuwekeza nchini na ahadi nyingine kibao,

yaani ni sawa na kumnunulia chipsi mayai na pepsi binti, ukampa elf 5 na ukaanza kumpa ahadi kwamba utawekeza kwenye duka la familia yao, utamjengea nyumba, n.k. yote hii ili kukamilisha jambo.
Kwnye hili mbona lipo wazi mkuu.
Kasha2mika na yeye kapewa chake kasepa.
Ila baadhi ya wanawake wanamuonea wivu kjigijigi Rick
 
Kweli weekend hii Hamisa amewapiga wengi na kitu kizito vichwani kwao. Huyu aliyeleta hii thread nae anaitwa mwanaume eti.
nilikuambia hapo hakuna jipya zaidi ya biashara. Hivi tumefika mahala mtu kuliwa na kuwa dumped tunaona ni ufahali kwakuwa ni msanii mkubwa. Hizi siyo tamaduni zetu jaman mtoa mada anajaribu kumkumbusha tu ila najua hata mobetto analijua hili(one night stand)
 
Umetoa angalizo mujarabu kabisa,Binti sasa hivi anasecure bag atengeneze future za wanae.Halafu kichekesho unaweza kuta waliokuwa hawatoi pesa za matunzo kwa Watoto wakaanza kuzitoa kwa kujipendekeza,maana Hamisa sasa hivi kaingia viwanja vya [emoji383].Hizi wekundu wa msimbazi kawaachia kina Uwoya ndiyo wahangaike nazo.
Hivi Hamisa keshafikia level za Uwoya??
 
Wajomba wamemaindi balaa[emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]!!!
Wajomba ,mifuko imetobokaa, kuzunguka na bahasha kila kukichaaaaa.


Hamisa ni mwanamke, ukiachilia mbali umaarufu, upambanaji , yeye pia ni mwanamke mzuri, ananyegeka pia ,HIVO LAZIMA AHITAJI KUA NA MWANAUME .


WAHUNI sijui wanataka HM ,akae kama MTAWA ??.
 
Acheni auze jamani.

Au kwa kuwa ANAUZA KIMATAIFA NA WENGINE UUZAJI NI WA TUMA NA YA KUTOLEA?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aaaa odo bei elekezi 30,000 bila na ya kutolea.
 
Hapa Hamisa kanyamizisha wote,bora hata Majizzo hakuwaga na hekaheka za kumdharirisha mitandaoni.Tabu iko kwa Watandale,na wasipoangalia kweli watoto wataenda kwa Biden [emoji3][emoji3]
Jamanii nimecheka kuna mtu kanitumie memes eti Zari anawaambia kuwa kaka wa watoto wake ni mtoto wa Rick Ross wa kambo.
Hakika nimeamini watu wakikudharau sana na kukunyanyapaa Mungu atakuinua tu.

Hamisa alinyanyasika sana na Dylan.
 
Wanasema wanaume ndo wameumia Hamisa kwenda Dubai na tajiri kuliko sisi wanawake. Sasa unajiuliza hiyo hasira wako nayo ni ipi? Wanatamani wangekua na wao wanawake waliwe na mtu kama Rosey au ndo joto hasira wanaona hawamuwezi tena. Nawaza bado
Lazima waumie hawana pesa sababu kula alipokula Rick Rose si mchezo.
 
Mimi ni mdada usijesema najitetea hapa [emoji1] ....Ujue wanawake sisi kwa sisi pia tunatofautiana, jamaa atakubaliwa na wanawake wanaopenda wanaume wa aina yake maana kama ni pesa mbona wanaume kibao mtaani wako njema tena sana hivyo inawezekana kunasa kwingine kwake isiwezekane sababu tuna machaguo yanayotafautiana.
kuna boss mkubwa wa serikali, chakushangaza mkewe wa 40yrs analiwa na kijana wa 26 yrs asiye na maisha ya kueleweka bado.

Hapo ndo utagundua madhara ya kumpendea mtu pesa. Mwanamke huyo alimpendea mumewe pesa.
 
kuna boss mkubwa wa serikali, chakushangaza mkewe wa 40yrs analiwa na kijana wa 26 yrs asiye na maisha ya kueleweka bado.

Hapo ndo utagundua madhara ya kumpendea mtu pesa. Mwanamke huyo alimpendea mumewe pesa.
Ahsante....Sasa kuna watu humu wanadhani ukiwa na pesa na umaarufu kama wa jamaa yao basi umemaliza kila kitu.
 
Back
Top Bottom