libeva
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 4,465
- 3,615
Ni yeye? Kuna mla ngada wa Kinondoni ukiuliza hivi anaita ni Brand yake bongo nyoso sanaWanawake wana roho ngumu sana🚶🚶🚶
View attachment 2026425
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni yeye? Kuna mla ngada wa Kinondoni ukiuliza hivi anaita ni Brand yake bongo nyoso sanaWanawake wana roho ngumu sana🚶🚶🚶
View attachment 2026425
kwani hiyo NDINGA anayosukuma si ni ya mwanaume kama wewe. Mwanaume ni mwanaume tuu, hata wewe ukipambana utapata na zaidi ya hayo.Mimi nakubaliana nawewe.
ndio maana hata wakat tunasoma ,unakuta demu anakuambia "Somaa "
Nakweli usiposoma, mnamaliza kidato cha NNE, baada ya miaka miwili, mwenzako anasukuma NDINGA.
Mwanamke mda wowote wakati wowote game linachange.Kwa mwanamke fursa ya Kwanza Ni maumbile yake huu ukweli watu wanaukwepa kwepa tu na kamwe usishindane na mwenye uke hasa jinsia pinzani utaumia
Wit jamani kwani halipwi?hajarudi na mkwanja?Asee Hamisa ni lijinga asee... imagine linatangaza Bellaire wine for nothing
Halipwi chochote, na Kei katoa ili kuwaumiza Domo na break privce[emoji848]
Demu ovvyoo sana hili, utalalaje na manyama uzembe just for fame[emoji57]
Vile unatetea umalaya kwa nguvu zote😁😁😁Lakini huyu mchizi currently pics zake mbona ana mwili mzuri tu?
Marekani oparesheni ya kuondowa haya mafuta ni verry simple kwao.
Jamaa wala hayuko hivyo kwa sasa.
Kabisa yani, maana kitu ambacho mwanaume anaweza kutumia maisha yake yote kukipata ama na asikipate, mwanamke bahati ikiwa upande wake anaweza kukipata kutokana na kei yake tu yani, k ambayo watu waliinanga na kuisonkola😅😅😅Mwanamke mda wowote wakati wowote game linachange.
Na wewe umejifunza lini roho mbaya?Asee Hamisa ni lijinga asee... imagine linatangaza Bellaire wine for nothing
Halipwi chochote, na Kei katoa ili kuwaumiza Domo na break privce[emoji848]
Demu ovvyoo sana hili, utalalaje na manyama uzembe just for fame[emoji57]
Hahaha[emoji38][emoji38]Wanawake wana roho ngumu sana[emoji124][emoji124][emoji124]
View attachment 2026425
Hahaha haya MatolaNa wewe umejifunza lini roho mbaya?
Hivi unaweza kupandishwa ndege hapa mpaka Dubai then ukarudi Bongo mikono mitupu?
First thing unamjuwa Rick Ross au umekaririshwa?
View attachment 2026454
Yani ulipiwe flight ticket go and return Dubai halafu usilipwe kitu.Wit jamani kwani halipwi?hajarudi na mkwanja?
Asee karudi bila bila hana hata mia mbovu[emoji848]Wit jamani kwani halipwi?hajarudi na mkwanja?
Kaka amini hili huyu demu hajapewa hata mia mbovuYani ulipiwe flight ticket go and return Dubai halafu usilipwe kitu.
Kweli adui ya mwanamke ni mwanamke.
Asee karudi bila bila hana hata mia mbovu[emoji848]
Demu jinga kabisa hili
Hii connection nimepewa na inside wa ukweli kabisa hapo kwao
Hahaahaaaa watanzania kazi mnayo asee[emoji38][emoji38][emoji38]Kama Taifa tunafurahia sana hamisa kuliwa na rick ross tena tunashangilia na baada ya kuliwa hamisa kasema jamaa atakuja kuwekeza tena kasema jamaa kamtaja hadi rais wetu hivo na rais ashangilie kutajwa na rick ross mambo haya ni magumu sana ndio naona nchi kukosa mastaa wa level za kidunia ni hatari sana.
Kaka amini hili huyu demu hajapewa hata mia mbovu
Mimi nasapoti sana wanawake wenzangu kama unanifatilia ila kwa huyu kazingua[emoji848]
Hahaahaaaa watanzania kazi mnayo asee[emoji38][emoji38][emoji38]
Imagine Malaya anatangaza nchi kuwa invested na mlupo na rais anawekwa katikati ya mistari[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787] noma sana
Asee sawa mkuu[emoji848][emoji848]Si anasema alifuata biashara zake au ni kosa? Lakini ametiheshimisha kama taifa wake kwa waume tunashangilia mafanikio ya hamisa kuliwa na mmarekani na vile kasema atakuja kuwekeza tanzania ndio basi tena tunasubiri madolari tu.
Hahaahaaaa watanzania kazi mnayo asee[emoji38][emoji38][emoji38]
Imagine Malaya anatangaza nchi kuwa invested na mlupo na rais anawekwa katikati ya mistari[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787] noma sana