wanawake wengi wa Tz wanatoka familia duni, alafu wanaongozwa kwa tamaa za vitu wasivyo na uwezo navyo, hata maisha yao sio uhalisia wanajiedit na kuekti life tu, ila kiuhalisia wanapigika na life kwelikweli, wa hivi lazma wapaparukie na kuangalia pesa tu,
na matokeo yake akiolewa na mwenye pesa, kwa kuwa hakumpenda ila aliangalia na kupaparukia pesa, ndo wanakuwa dizaini ya wale wanawake wa mabosi wanaotembea na vijana wa kutunza kuku, ng'ombe na nguruwe majumbani.
kwa dunia ya sasa, wanawake wasioangalia pesa au kuchagua mwenye pesa ni wale unaokuta wametoka familia za kishua na yeye mwenyewe mwanamke unakuta mfukoni yupo njema, yani kwake pesa sio tatizo labda matatizo mengine.
sasa wewe na wanawake wengine ndo mjitasmini mtaangukia au mpo kwenye kundi gani kati ya hayo hapo juu, maana naona blah blah nyingi humu.