Kichwan hamna kituNiliposikia tu hata rais katajwa nikajua huyu demu hajielewi yaani kwenye starehe zao walimkumbuka mama wa watu kweli au basi tu tuone katoka kufanya jambo kubwa inasikitisha mno
Kichwan hamna kitu
Sifuri kubwa 0
Hamisa amekosa shule kichwani hakukuwa na haja ya kusema sijui kuwekeza mara rais Samia na jinsi alivyokuwa anajibu pale alikuwa anaongea kwa kiwewe, Ni Kama ukutane na zigo la mapesa njiani hivyo ndivyo hali aliyonayo,, angetuliza kichwa hii ishu ingemtoa kimaisha,,Hahaahaaaa watanzania kazi mnayo asee[emoji38][emoji38][emoji38]
Imagine Malaya anatangaza nchi kuwa invested na mlupo na rais anawekwa katikati ya mistari[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787] noma sana
Hahaahaaaa watanzania kazi mnayo asee[emoji38][emoji38][emoji38]
Imagine Malaya anatangaza nchi kuwa invested na mlupo na rais anawekwa katikati ya mistari[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787] noma sana
eti wanajifanya wanafkuzia pesa, tamaa tuu, na kutafta sifa za kijinga kwamba nae analiwa na mmarekani maarufu, ndo akaona ajianike hivo. Huko ni kujishushia heshima na mtu wa hivi hawezi kuja kuolewa na mtu mwenye heshima zake,Asee chuchunge ni lijinga asee... imagine linatangaza Bellaire wine for nothing
Halipwi chochote, na Kei katoa ili kuwaumiza Domo na break privce[emoji848]
Demu ovvyoo sana hili, utalalaje na manyama uzembe just for fame[emoji57]
Nasubiri jibu la wasaga sumu a.k.a wenye makasirikooNa wewe umejifunza lini roho mbaya?
Hivi unaweza kupandishwa ndege hapa mpaka Dubai then ukarudi Bongo mikono mitupu?
First thing unamjuwa Rick Ross au umekaririshwa?
View attachment 2026454
wewe unatembea na wanawake wangapi??kwani hiyo NDINGA anayosukuma si ni ya mwanaume kama wewe. Mwanaume ni mwanaume tuu, hata wewe ukipambana utapata na zaidi ya hayo.
Mwanamke asiye na akili ziumiazo ni sehemu zake za siri. Na sio kila mwanamke anategemea kutumiwa au kuchezewa ndo aishi.
Licha ya ugumu wa maisha tambua kuwa kuna wanawake wanajiheshimu sana na maisha yanasonga mbele kama kawa.
Malipo ni hapa hapa 😂😂😂Hili swala limewauma sana wanaume wa bongo mana design kama limewadharaulisha na wanawake wa bongo kwa kufata mkumbo wataanza kuwakataa[emoji23]
Malipo ni hapa hapa [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna kipindi walitrend sana kwenda kuchukua madem nje mara Kenya, Uganda, Rwanda.....
Mie napenda mwanaume awe na nyama nyama. Akiwa mwembamba sana hanogeiAaaa wewe hujui utamu wa mifupa.
Mifupa mitamu hatariiiii.
Wanaume waliokauka watamu balaa watamu kuanzia kiunoni kushuka chini.
Bora we umeongea bonge la point[emoji1690][emoji1690]Hamisa amekosa shule kichwani hakukuwa na haja ya kusema sijui kuwekeza mara rais Samia na jinsi alivyokuwa anajibu pale alikuwa anaongea kwa kiwewe, Ni Kama ukutane na zigo la mapesa njiani hivyo ndivyo hali aliyonayo,, angetuliza kichwa hii ishu ingemtoa kimaisha,,
Tukimtazama historia yake nyuma katokea kwenye maisha duni tyliyonayo watz wengi,, kapata umaarufu kwa kutoka kimapenzi na watu maarufu na yaliyomtokea tunayajua, kwahiyo kufikia hatua leo anakutana na msanii mkubwa kutoka marekani sio ishu ndogo lazima apate muhaho,, ishu ya kutolipwa inawezekana ni kweli (ikiwa hivi ataijutia hii nafasi) ama sio kweli
Hakuna kitu hapoNgoja tuone itakuaje mwisho wa safari
Imagine this[emoji1690][emoji848]eti wanajifanya wanafkuzia pesa, tamaa tuu, na kutafta sifa za kijinga kwamba nae analiwa na mmarekani maarufu, ndo akaona ajianike hivo. Huko ni kujishushia heshima na mtu wa hivi hawezi kuja kuolewa na mtu mwenye heshima zake,
hata wahuni hawatakagi kuoa wanawake wa hivi, matokeo yake ataishia kutapatapa na kudanga tuu na kama hana akili ya namna ya kutumia hizo pesa anazohongwa siku akizeeka kama wema, ataishia pabaya.
Haha ha ha asee[emoji848]Nasubiri jibu la wasaga sumu a.k.a wenye makasirikoo
Minyama kama ya hasanali[emoji38]Mie napenda mwanaume awe na nyama nyama. Akiwa mwembamba sana hanogei
Nasubiri jibu la wasaga sumu a.k.a wenye makasirikoo
Pole yake aisee,Bora we umeongea bonge la point[emoji1690][emoji1690]
Hana hata mia hapo alipo huwezi amini[emoji848]