Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Unaweza kuta wewe ni Mwanaume halafu unaona Wivu Hamissa kwenda Rick!

Tanzania Wanaume wanazidi kuisha tu.
 
rasmi naanza kufuga midevu na kunyoa para kama rozeee nakutafuta hela zaidi otherwise hamisa nitakua namwona kwenye tv
 
Hakuna penzi zaidi ya money [emoji383][emoji857][emoji383][emoji857][emoji383]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…