Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

View attachment 2025435

Karibu kila nyimbo rick ross huwa anajisifia kuwa na bitches (malaya) wengi ambao huwalipa kiasi ili kupata huduma, na huu ni utamaduni wa wasanii wengi sana wa Marekani. msanii anaweza kumlipia bi#*h wake tiketi ya ndege, nguo, make up, kucha, n.k na kumhonga hata milioni 10 ya ziada ili tu ale nae bata usiku mzima, kukipambazuka stori imeisha yani, ila akimuhitaji tena wala haoni shida kulipia, kumbuka hawa wasanii wameajiri hata watu wanaowanyongea miskoto ya bangi, kwa hio kwao hizi pesa za bata hawajivungi.

Haya ni mashairi yake kwenye kazi zake kadhaa, pia yametafsiriwa kwa kiswahili

Rick Ross & Birdman - i got a bitch"


Bitch, ain't it nothing but some motherfuckin' money over her
You understand me?
So you already know what time it is
You feel me?
You know what a nigga need baby
I ain't gon' play with ya
Don't waste my time, won't waste yours
Ya feel me? Cause I have enough hoes
Get in line


TAFSIRI.......

-malaya, hakuna cha ziada anachotaka zaidi ya pesa
-umenielewa?
-baby, nadhani unajua tayari ni muda wa shughuli flani
-umenipata?
-unajua tayari muhuni nachotaka.
-sina muda wa kucheza na wewe
-usipoteze muda wangu, nami sitapoteza muda wako
-umenipata? nina malaya kibao usidhani uko peke yako
-haya anza kuwajibika.


RICK ROSS - SAME HOES - hapa aliweka wazi kwamba malaya pekee anaoweza kulala nao ni wale wanaolala na wasanii wakubwa tu.


Me and Pushat T, we f*#k the same hoes
Me and TIP, we f*#k the same hoes
Me and Chris Brown, we f*#k the same hoes
The same hoes
The same hoes
Me and Justin Bieber f*#k the same hoes
Me and Snoop Dogg, we f*#k the same hoes
Me and Yo Gotti f*#k the same hoes
The same hoes
The same hoes


TAFSIRI.......

-Malaya anaolala nao msanii maarufu Pusha T na mimi nalala nao
-Malaya anaolala nao msanii maarufu T.I na mimi nalala nao
-Malaya anaolala nao msanii maarufu Chris Brown na mimi nalala nao
-ni wale wale
-ni wale wale
-Malaya anaolala nao msanii maarufu Justin Bieber na mimi nalala nao
-Malaya anaolala nao msanii maarufu Snoop dog na mimi nalala nao
-Malaya anaolala nao msanii maarufu Yo Gotti na mimi nalala nao
-ni wale wale
-ni wale wale


French Montana ft rick ross - Pop That

I'm the life of the party, let's get these hoes on the Molly
You know I came to stunt, so drop that pussy, bitch
I got what you want, drop that pussy, bitch (Woo)
Film it, film it, this bitch want me to film it
Ballin', ballin' like I play for New England
Spend it, spend it, spend a stack every minute
That's 50... one hundred, I see no fuckin' limits
Shout out to Uncle Luke (Huh)
Shout out my bitches too (Huh)
We the 2 Live Crew
Two for me, two for you (Woo)
Feed them bitches carrots (Huh)
JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala em like a rabbit

Sorry that's a habit, smoke a spliff and then I vanish

TAFSIRI.......

+Ninaishi maisha ya kula bata, nawalewesha malaya zangu kwa madawa
-unajua nimekuja kuburudika, nipe uchi wako
-ninacho unachohitaji (pesa), nIpe uchi wako
-malaya wanapenda kujirekodi video wakiwa na mimi
-nakula bata sana tu
kwangu pesa sio shida
-shilingi laki 1, laki 2, natketeza ndani ya dakika
-nawapa hai malaya wangu wote
-nikiwa na washkaji zangu, tunawapiga mtungo
-tunawalisha karoti kama sungura (fumbo la sehemu za siri)
-mnisamehe lakini ndio tabia yangu
-nikimaliza shughuli, navuta kipisi cha bangi naishia zangu


Nadhani hamisa kaweka mategemeo makubwa sana juu ya huyu muhuni alietukuka kutoka jiji la Miami, mbaya zaidi kaweka hadharani saundi alizopigwa na mhuni kwamba atakuja kuwekeza nchini na ahadi nyingine kibao,

yaani ni sawa na kumnunulia chipsi mayai na pepsi binti, ukampa elf 5 na ukaanza kumpa ahadi kwamba utawekeza kwenye duka la familia yao, utamjengea nyumba, n.k. yote hii ili kukamilisha jambo.
Unaweza kuta wewe ni Mwanaume halafu unaona Wivu Hamissa kwenda Rick!

Tanzania Wanaume wanazidi kuisha tu.
 
Ila wabongo bhana[emoji1]
Mkaamua kufukua picha ya hamisa mobeto na kumtumia rozee[emoji1787]
IMG_20211127_224042.jpg
 
rasmi naanza kufuga midevu na kunyoa para kama rozeee nakutafuta hela zaidi otherwise hamisa nitakua namwona kwenye tv
 
Hakuna penzi zaidi ya money [emoji383][emoji857][emoji383][emoji857][emoji383]
 
Back
Top Bottom