Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Tubu kwa Mwenyezi Mungu ewe dada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vunja bei alisanuka demu anataka kufunguliwa biashara kisha achomoe ujauzito fasta! Mwamba akajiengua 😅😅😅Naona anakitegesha apate mtoto na nyonyoma wa mbele ili child support ihusike just imagine triple child support ya majjizo,nasib Abdul,na final ya nyonyoma Rick Ross ndo naanza kuamini mobetto hatoishi kwa mkate tuu bali kwa child support azipatazo toka kwa waume watatu
Eeeh ni kusema ikiwaka mulika ikizima papasaUkikipata kitumie ukikikosa kijutie.
ObviouslyKwani na yeye hata enjoy?
Wenyewe mabinti wa siku hizi wanaita KULENGA.Naona anakitegesha apate mtoto na nyonyoma wa mbele ili child support ihusike just imagine triple child support ya majjizo,nasib Abdul,na final ya nyonyoma Rick Ross ndo naanza kuamini mobetto hatoishi kwa mkate tuu bali kwa child support azipatazo toka kwa waume watatu
Kwenye show ya Fally ,Mobeto alikua anamtunza Fally minoti ili kumuingiza kingFally alichomoa akaona sihitaji upuuzi huo hela yake haitoki kizembe😅
Sasa huu wakununuliwa ticket ya Dubai ni sawa na ule wa buku jero pale Kwamtogole?Vijana bhana!Siku hizi umalaya unaitwa ni penzi zito?
Na baada ya kutoa mimba vunjabei kafunga hyo biasharaVunja bei alisanuka demu anataka kufunguliwa biashara kisha achomoe ujauzito fasta! Mwamba akajiengua [emoji28][emoji28][emoji28]
🤣🤣🤣Sasa huu wakununuliwa ticket ya Dubai ni sawa na ule wa buku jero pale Kwamtogole?
Mimi nampa heko huyu binti. Siyo kila siku kulia na akina Harmonize au Diamond. Anaenda kutafuta huko na analeta kuwekeza hapa nchini. Tumuunge mkono na kumpa mbinu ili asiwe kama WemaMbususu iliwatoa watu from nobody’s to nobles.
Sapiti mama kwa mara ya kwanzaSasa huu wakununuliwa ticket ya Dubai ni sawa na ule wa buku jero pale Kwamtogole?
Duniani ni ku risk. alirisk kwa Ipupa hakufanikiwa, hapa amefanikiwa. Ni hero huyuHuyu mwanamke alitaka kudanga kwa Fally Ipupa akamtolea mbavuni.
Matumizi mabaya ya neno la HERO.Duniani ni ku risk. alirisk kwa Ipupa hakufanikiwa, hapa amefanikiwa. Ni hero huyu
Kwamba wamezagamuana 😂😂😂😂wamezagamuana wakaona isiwe kesi ngoja wajue tu
Sio kweli kwamba Tz hakuna mwanamke anayeweza kumkataa mondWahuni eeehy...
Wanawake wanapenda mwanaume "Strong"....
Nawambiaje........ Unakuta hata huyo R.R hatumii mpunga Bali Bidada anagharimika Mwenyewe....
Nawambiaje.....Mond ana domo ila huwezi amini Mkeo unayekubali ,anataman angalau siku moja aliwe na Mond bureee...
Kwa TZ ,hamna dem anayeweza kumkataa Mond.....hata km Wanajua Mond ni Malaya....
Sembuse R.R wa USA ??? Thubutuuuuu...
Hapo mwenzenu anawadolishia wenzakeeee kua kwa sasa analika Intaneshinooooo!!!
ITOSHE KUSEMA.......PAPUCHI YAKE, MAISHA NI YAKE, MWACHENI MTOTO WA WATU NA MBUSUSU YAKE....ALIWE NA MBONGO, ALIWE MBEREEEE. ATABAKI KUA DEM MKALIIIIII!!!!.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bibi unanivunja mbavu ujue. KhaaaahSasa huu wakununuliwa ticket ya Dubai ni sawa na ule wa buku jero pale Kwamtogole?