Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Na unaweza kusikia soon mnyamwezi anaondoka BongoHapo mjuba rozey achomoi!!! Atapigwa hata tunguli😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na unaweza kusikia soon mnyamwezi anaondoka BongoHapo mjuba rozey achomoi!!! Atapigwa hata tunguli😅
Exactly, sio kila mwanamke anapenda kuwa na watu maarufu!Mimi ni mdada usijesema najitetea hapa [emoji16]....Ujue wanawake sisi kama sisi pia tunatofautiana atakubaliwa na wanawake wanaopenda wanaume wa aina yake kama ni pesa mbona wanaume kibao mtaani wako njema hivyo inawezekana kunasa kwingine kwake isiwezekane sababu tuna machaguo yanayotafautiana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah hata akinipa si mbaya maana nimempita kiumri kiasi hivyo sioni ajabu Chura, halafu akaunti ya mwenzako imekuaje imekuwa reported? Upande wa piliHajakuchekesha wala nini, unataka tu kumvua dada wa watu😂😂😂😂
Bongo lazma aje sababu aliongea na lil ommy kwenye interview flani akamwambia nataka nije niinvest bongo! Nitajie sehem nzuri akaambiwa arusha au daslam. Akasema anataka aje awekeze kama $3M hivi nchiniNa unaweza kusikia soon mnyamwezi anaondoka Bongo
Jack ni psychopathy nahisi alipigwa tukio na mwanamke aliyekuwa anampenda sasa hasira zote huwa zinaishia kwa hawa viumbe wa jinsia KEJamaa unawehuka?!
Umeulizwa swali zuri kabisa sijaona mantiki ya yeye kupaniki, kama hakuna mwanamke wa kumkataa diamond kumbe hata mama yake anaweza mkubalia pia. Hongera kwa kazi nzuriUmepaniki mkuu
Wanacho miss wenzetu wa nchi zilizoendelea sana ni CARE kutoka kwa wanawake...mambo ya gender yamefanya wanawake wa huko kuwa vibur sana..so wakija huku kwa akina ndala ndefu..wanashangaa anapikiwa..anafuliwa na huduma zote had wanashangaa..wananyenyekewa sana...wanawake zao huko ni majeuri balaaa..hii perspective nmeishudia pia nmeambiwa na wanyamwez wenyewHii ndio ile wanaita kudanga kwa weledi [emoji28]..
Huyu mwamba kweli lazma aje kuwekeza zile billion 8 zake bongo kashafinyiwa kwa ndani na mtoto wa Tandale uswahilini!
Inaonekana kapata review kwa rotimi kuwa hizi ngozi za kibongo ni noma [emoji3]
Hawezi kumkataa, domo hata akitaka aingize puani jamaa atakubali.Wewe Diamond aki ku Dm utamkataa?
Nafikiri ndio maana wakipata mama za East Africa wana pagawa! Japo huku kwetu wameharibika ila sio kwa kiwango cha kwao kule!Wanacho miss wenzetu wa nchi zilizoendelea sana ni CARE kutoka kwa wanawake...mambo ya gender yamefanya wanawake wa huko kuwa vibur sana..so wakija huku kwa akina ndala ndefu..wanashangaa anapikiwa..anafuliwa na huduma zote had wanashangaa..wananyenyekewa sana...wanawake zao huko ni majeuri balaaa..hii perspective nmeishudia pia nmeambiwa na wanyamwez wenyew
Hahahaah...halaf pia huko kwa wanyamwez unaweza fikishaa hata wik mbil mtaan hunaona dem mwembamba na shepu...adimu sana..watu movie na mizik ndo inadanganya..ila kubahatika kumkuta skinny girl ni ishu .ndomana kina mange wana soko sana huko ....yaan ni adimu..weng mabonge nyanya na miil mikubwa...ndomana hata wazungu unaowakuta bongo hapa wana mademu..bas huyo demu lazima awe mwembamba balaa..ni adimu kwao...misos ming sana huko kwaoNafikiri ndio maana wakipata mama za East Africa wana pagawa! Japo huku kwetu wameharibika ila sio kwa kiwango cha kwao kule!
Women treat men really good hapa kwetu sema ndo hivyo hela iwepo tu ya kunogeshea penzi. Wana unafuu mkubwa compared na goldiggers wa marekani! Demu anakwambia mjazie hela kwenye credit card ndio aje kwako[emoji2956] shenz type!
Kila Mwanamke ana choice yake anayopenda kutoka kwa yule amtakaye yes Diamond kwa mafanikio yake baadhi ya She wengi watamkubali ila si woteUmeulizwa swali zuri kabisa sijaona mantiki ya yeye kupaniki, kama hakuna mwanamke wa kumkataa diamond kumbe hata mama yake anaweza mkubalia pia. Hongera kwa kazi nzuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawezi kumkataa, domo hata akitaka aingize puani jamaa atakubali.
Awe na akili ya maana sasa maana vibinti vya kibongo cha maana anachoweza kufanya ni kuomba afunguliwe maduka ya nguo 😅 nchi nzima 😅 kisha chenchi ajengewe ghorofa na BMW X7Duu
Basi Bibie atakula shavu kama akituliza akili😁
Maumivu yakizidi kamuone daktari, hii hate ni ya kichawi kabisa.Rickross atapiga tu na kusepa huyu demu ataishia kutombwa na kuachwa yaani mbaka sasa watu kibao wamepiga juzi tu fally pupa alisepa demu alikuwa anajilengesha wazi wazi yaani haoni aibu kabisaa anaganda wanaume vibaya mno umasikin mbaya sana
Tuna export babuTanzania tunaongoza kwa ku import Mbususu Marekani.
Kilimo cha mbususu
😂😂😂Nadhani anatamani awe na mbususu Mwaume unapata wapi ujasiri kwa kudhani kwamba D hawezi kukataliwa na mke yoyote yule ina maana ana tamani angekuwa na mbususu asingekataaHawezi kumkataa, domo hata akitaka aingize puani jamaa atakubali.
Shangaa wewe, inakuwaje upo hapa?🤷🤷mwanaume unapata wapi nguvu za kufatilia mambo kama haya