Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Mimi ni mdada usijesema najitetea hapa [emoji16]....Ujue wanawake sisi kama sisi pia tunatofautiana atakubaliwa na wanawake wanaopenda wanaume wa aina yake kama ni pesa mbona wanaume kibao mtaani wako njema hivyo inawezekana kunasa kwingine kwake isiwezekane sababu tuna machaguo yanayotafautiana

Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly, sio kila mwanamke anapenda kuwa na watu maarufu!
 
Hajakuchekesha wala nini, unataka tu kumvua dada wa watu😂😂😂😂
Hahah hata akinipa si mbaya maana nimempita kiumri kiasi hivyo sioni ajabu Chura, halafu akaunti ya mwenzako imekuaje imekuwa reported? Upande wa pili
 
Hii ndio ile wanaita kudanga kwa weledi [emoji28]..

Huyu mwamba kweli lazma aje kuwekeza zile billion 8 zake bongo kashafinyiwa kwa ndani na mtoto wa Tandale uswahilini!

Inaonekana kapata review kwa rotimi kuwa hizi ngozi za kibongo ni noma [emoji3]
Wanacho miss wenzetu wa nchi zilizoendelea sana ni CARE kutoka kwa wanawake...mambo ya gender yamefanya wanawake wa huko kuwa vibur sana..so wakija huku kwa akina ndala ndefu..wanashangaa anapikiwa..anafuliwa na huduma zote had wanashangaa..wananyenyekewa sana...wanawake zao huko ni majeuri balaaa..hii perspective nmeishudia pia nmeambiwa na wanyamwez wenyew
 
Nafikiri ndio maana wakipata mama za East Africa wana pagawa! Japo huku kwetu wameharibika ila sio kwa kiwango cha kwao kule!

Women treat men really good hapa kwetu sema ndo hivyo hela iwepo tu ya kunogeshea penzi. Wana unafuu mkubwa compared na goldiggers wa marekani! Demu anakwambia mjazie hela kwenye credit card ndio aje kwako🤩 shenz type!
 
Nafikiri ndio maana wakipata mama za East Africa wana pagawa! Japo huku kwetu wameharibika ila sio kwa kiwango cha kwao kule!

Women treat men really good hapa kwetu sema ndo hivyo hela iwepo tu ya kunogeshea penzi. Wana unafuu mkubwa compared na goldiggers wa marekani! Demu anakwambia mjazie hela kwenye credit card ndio aje kwako[emoji2956] shenz type!
Hahahaah...halaf pia huko kwa wanyamwez unaweza fikishaa hata wik mbil mtaan hunaona dem mwembamba na shepu...adimu sana..watu movie na mizik ndo inadanganya..ila kubahatika kumkuta skinny girl ni ishu .ndomana kina mange wana soko sana huko ....yaan ni adimu..weng mabonge nyanya na miil mikubwa...ndomana hata wazungu unaowakuta bongo hapa wana mademu..bas huyo demu lazima awe mwembamba balaa..ni adimu kwao...misos ming sana huko kwao
 
Rickross atapiga tu na kusepa huyu demu ataishia kutombwa na kuachwa yaani mbaka sasa watu kibao wamepiga juzi tu fally pupa alisepa demu alikuwa anajilengesha wazi wazi yaani haoni aibu kabisaa anaganda wanaume vibaya mno umasikin mbaya sana
Maumivu yakizidi kamuone daktari, hii hate ni ya kichawi kabisa.
 
Kwa hizi hasira za wanaume juu ya Hamisa, no wonder na wenyewe wanaamua kutoa ndogo, yaani nilidhani wanawake ndio wawe na wivu kwa mwanamke mwenzao ajabu ni wanaume ndio wanakua na wivu kwa mwanamke,
Lol

Maajabu hayawezi kuisha Tanzania yangu.
 
Back
Top Bottom