cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Kabisaa wacha aringe hamissa wetu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bana weee ukipata bonge lá bwana unaringa hata kwa muda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisaa wacha aringe hamissa wetu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bana weee ukipata bonge lá bwana unaringa hata kwa muda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee acha tyuuh.Wangekoma Leo team Tuks na team WCB[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mjomba flani hivi....!![emoji28][emoji28][emoji28][emoji1]
[emoji16]Sawa Mzungu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii ndio ile wanaita kudanga kwa weledi [emoji28]..
Huyu mwamba kweli lazma aje kuwekeza zile billion 8 zake bongo kashafinyiwa kwa ndani na mtoto wa Tandale uswahilini!
Inaonekana kapata review kwa rotimi kuwa hizi ngozi za kibongo ni noma [emoji3]
Jomoneeeh shos nakufaa kwa kucheka. Lol [emoji23][emoji23][emoji23]Mobeto kamuita Vunja hivyo"mjomba flani hivi"[emoji23][emoji2][emoji2]
Unamaanisha hii nyimbo ya beer tamu inautunzi mzuri kuliko congratulations ya post MaloneNa yule lil wayne nyimbo zake ni kama huyu tu, hawa wasanii wamarekan ni kwasababu tu USA ni taifa kubwa duniani ndmana tunawafatilia na kuskiliza ngoma zao.
Kingine wao wameanza kutumia hizi digital platforms kuuza ngoma zao kitambo ndmna ni matajiri sana , ila ukweli ni kwamba wanazidiwa mbali sana na wasanii wa bongo ktk utunzi wa nyimbo.
Kinachokwamisha bongo nadhan ni hii lugha yetu tu
Nakubaliana na wewe mkuu, naweza kupata mambo mengi kichwani nikimsikiliza afande sele lakini ni ngumu sana kupata chochote hata nisikilize ngoma zilizohit kama mask off ya off set.... kiukweli wanachoimba huwa ni bangi, uhalifu, madawa, magenge, malaya, kuringishia maskini pesa, visasi, n.kNa yule lil wayne nyimbo zake ni kama huyu tu, hawa wasanii wamarekan ni kwasababu tu USA ni taifa kubwa duniani ndmana tunawafatilia na kuskiliza ngoma zao.
Kingine wao wameanza kutumia hizi digital platforms kuuza ngoma zao kitambo ndmna ni matajiri sana , ila ukweli ni kwamba wanazidiwa mbali sana na wasanii wa bongo ktk utunzi wa nyimbo.
Kinachokwamisha bongo nadhan ni hii lugha yetu tu
kati yao mzungu ni yupi?So sad😨😨😨😨😨😨😨, hapo ndipo picha za ngono zinapoanzia, wazungu sio watu wazuri
[emoji23][emoji23][emoji23]ila missa n kibokoooh.Eehh!shoo....mjomba flani hivi....!!!
Wajomba wamenyooshwa[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa mara ya kwanza naona Wanaume wengi hapa JF wanatokwa povu kwa penzi la Misa kwa Richforever! Wanaanzisha kila aina ya Thread za kumponda Misa,mara kutafsiri mashairi yake Ross kisha wanayapa picha ya Hamisa,nilidhani ni Watandale tu Wamenyooshwa,kumbe ni wengi tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hili swala limewauma sana wanaume wa bongo mana design kama limewadharaulisha na wanawake wa bongo kwa kufata mkumbo wataanza kuwakataa[emoji23]Kwa mara ya kwanza naona Wanaume wengi hapa JF wanatokwa povu kwa penzi la Misa kwa Richforever! Wanaanzisha kila aina ya Thread za kumponda Misa,mara kutafsiri mashairi yake Ross kisha wanayapa picha ya Hamisa,nilidhani ni Watandale tu Wamenyooshwa,kumbe ni wengi tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mobeto ampige Libwata Ross ili awekeze bongo😁View attachment 2025435
Karibu kila nyimbo rick ross huwa anajisifia kuwa na bitches (malaya) wengi ambao huwalipa kiasi ili kupata huduma, na huu ni utamaduni wa wasanii wengi sana wa Marekani. msanii anaweza kumlipia bi#*h wake tiketi ya ndege, nguo, make up, kucha, n.k na kumhonga hata milioni 10 ya ziada ili tu ale nae bata usiku mzima, kukipambazuka stori imeisha yani, ila akimuhitaji tena wala haoni shida kulipia, kumbuka hawa wasanii wameajiri hata watu wanaowanyongea miskoto ya bangi, kwa hio kwao hizi pesa za bata hawajivungi.
Haya ni mashairi yake kweye kazi zake kadhaa
Rick Ross & Birdman - i got a bitch"
Bitch, ain't it nothing but some motherfuckin' money over her
You understand me?
So you already know what time it is
You feel me?
You know what a nigga need baby
I ain't gon' play with ya
Don't waste my time, won't waste yours
Ya feel me? Cause I have enough hoes
Get in line
TAFSIRI
malaya, hakuna cha ziada anachotaka zaidi ya pesa
umenielewa?
baby, nadhani unajua tayau ni muda wa shughuli flani
umenipata?
unajua tayari muhuni nachotaka.
sina muda wa kucheza na wewe
usipoteze muda wangu, sitapoteza muda wako
umenipata? kwa maana tayari nina malaya wengi
hebu wajibika.
French Montana ft rick ross - Pop That
I'm the life of the party, let's get these hoes on the Molly
You know I came to stunt, so drop that pussy, bitch
I got what you want, drop that pussy, bitch (Woo)
Film it, film it, this bitch want me to film it
Ballin', ballin' like I play for New England
Spend it, spend it, spend a stack every minute
That's 50... one hundred, I see no fuckin' limits
Shout out to Uncle Luke (Huh)
Shout out my bitches too (Huh)
We the 2 Live Crew
Two for me, two for you (Woo)
Feed them bitches carrots (Huh)
JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala em like a rabbit
Sorry that's a habit, smoke a spliff and then I vanish
TAFSIRI
Ninaishi maisha ya kula bata, nawalewesha malaya zangu kwa madawa
unajua nimekuja kuburudika, nipe uchi wako
ninacho unachohitaji (pesa), npe uchi wako
malaya wanapenda kujirekodi video wakiwa na mimi
nakula bata sana tu
kwangu pesa sio shida
shilingi laki 1, laki 2, vyovyote tu ndani ya dakika
nawapa hai malaya wangu wote
nikiwa na washkaji zangu
tunawapiga mtungo malaya
tunawaisha karoti (uume)
mnisamehe lakini ndio tabia yangu
nilimaliza, navuta bangi naishia zangu
Nadhani hamisa kaweka mategemeo makubwa sana juu ya huyu muhuni alietukuka kutoka jiji la Miami, mbaya zaidi kaweka hadharani saundi alizopigwa na mhuni kwamba atakuja kuwekeza nchini na ahadi nyingine kibao,
yaani ni sawa na kumnunulia chipsi mayai na pepsi binti, ukampa elf 5 na ukaanza kumpa ahadi kwamba utawekeza kwenye duka la familia yao, utamjengea nyumba, n.k. yote hii ili kukamilisha jambo.