Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Hahaahaaaa watanzania kazi mnayo asee[emoji38][emoji38][emoji38]

Imagine Malaya anatangaza nchi kuwa invested na mlupo na rais anawekwa katikati ya mistari[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787] noma sana
Sasa kumbe nchi yenyewe inajiendea tu kumbe afanyeje!!
Mi sikupenda aongee pale,angekaa kimya...!!akawaambia subiri mtajua kila kitu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Malipo ni hapa hapa 😂😂😂
Kuna kipindi walitrend sana kwenda kuchukua madem nje ya tz mara Kenya, Uganda, Rwanda.....
Haya kama malipo ni hapa hapa na ww nenda katafute nigga moja maarufu huko marekani likukarabati......
 
Back
Top Bottom