Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Huyo huyo kuna kipindi walikuwa mashoga kipindi kileee amemuita mcheza sinema wa naija omotola. Picha ziko Google mbona. Walikuwa wameungua kama kenge
🤣🤣🤣 Ila wewe dada/kaka you made my day yaan
 
Asee chuchunge ni lijinga asee... imagine linatangaza Bellaire wine for nothing

Halipwi chochote, na Kei katoa ili kuwaumiza Domo na break price[emoji848]

Demu ovvyoo sana hili, utalalaje na manyama uzembe just for fame[emoji57]
We una uhakika hajalipwa? Acha wivu
 
Screenshot_20211129-164521_1.jpg
 
So sad[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32][emoji32], hapo ndipo picha za ngono zinapoanzia, wazungu sio watu wazuri
Hahah..hii statement aliionhea dogo muuni anaitwa Kareem kweny movie ya coffee and Kareem
 
Back
Top Bottom