Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

Ila DC mjasiri, au ndo huwa Hana choice nzuri...kabisa anaamua kumzalia mjomba? Huyu mjomba kutwa kuwakagua kina Nai VIP lounge?
Sasa atafanyaje dea, ameona lililo bora kwake n hilo.
 
Ila DC mjasiri, au ndo huwa Hana choice nzuri...kabisa anaamua kumzalia mjomba? Huyu mjomba kutwa kuwakagua kina Nai VIP lounge?
Unajua kama huna bahati na haya mambo ya mapenzi inabidi ukubaliane na uhalisia asee[emoji848]

Mdada wa watu kateseka sana asee, bora ajizalie
 
Mademu wa kimarekani wanazinguwa sana, kwahiyo akikutana na demu wa Kibongo anajiona yuko dunia nyingine.

Nchi zilizowapa haki za kupitiliza wanawake ni tatizo.
Kwahiyo na sie wengine tufate nyayo hakuna namna
 
Tangu Hamisa Mobeto iliposemekana alikuwa Dubai na RICK ROSS/Rich forever, Nimeonay huku jukwaani Kuna wanaume wanamwonea wivu.

Yani mtoto wa kiume unaona wivu Mobeto kutoka na jamaa. Mlitaka nyie muende Dubai mkale bata na Rick Ross?

Yaani Ni sawa na dada yako anaolewa halafu unaona wivu km vile ulitaka uolewe WEWE.

Hizi Ni dalili za wanaume kupungua au kupoteza uanaume wao.

Au nasema uongo ndugu zangu
Povu ruksa Ila liwe la omo.
 
Tupe heshima wazee wa Jiji, tupo busy na mission town zetu, nyinyi watu wa huko Bwinde ndio mnaona kila anayekwenda Dubai anakwenda kula bata kumbe wenzenu wamekwenda kunyonya mifupa ya makongoro.
 
Mwanaume wa dar (kinondoni)
IMG_20211201_141042.jpg
 
Back
Top Bottom