Ndio watu wajue kusoma Kayumba hakumzuii mtu kuwa fluent in EnglishYule manzi anaongea kiingereza hatari mno sijajua kajifunzia wapi. Hamisa kwa ngeli labda anazidiwa na Jokate & Vanessa tu. Kuhusu kutumia papuchi yake kujipatia mafanikio ni kawaida kwa wanawake wengi maarufu na matajiri. Nikifanya tathmini ya kina mama maarufu wenye mafanikio kifedha hapa TZ nitakuta wengi walihusisha papuchi. Kimsingi Hamisa ni gold digger wa mfano. Mtu kama ameamua kula nguruwe acha ale aliyenona.
Yaani kaandika utumbo kinyama😂, yaani street body seller kawa shujaa!Kiukweli Likud unatatizo mahala.
Issue ya Hamisa ni nzuri we should celebrate her, lakini mbona umeichanganyia madesa hivi?
Can you please stop! Thank you.
Shemela Hiki kichwa una kijua una kisikia 😂😁Kiukweli Likud unatatizo mahala.
Can you please stop! Thank you.
Vishu Mtata a.k.a Boyka wa vikindu una mabiti 😂🤣We dem una wazimu, au na wewe unamuonea wivu kama hawa kaka zako hapa??
Na usirudie kuandika hayo uliyoandika hapo, sawa binti.
Shemeji kila mtu ni shujaa katika engo yake, kitu sijaelewa hapa ni kwanini zimehusishwa shule hapa.Yaani kaandika utumbo kinyama😂, yaani street body seller kawa shujaa!
naelewa, yeye kachukulia kusoma kayumba Kisha kutoboa kwa kuolewa na azizi basi ni huge life achievementShemeji kila mtu ni shujaa katika engo yake, kitu sijaelewa hapa ni kwanini zimehusishwa shule hapa.
Na jamii inatakiwa ipokee nini kutoka kwenye hili bandiko?
Shemeji my concern is; issues ya Hamisa ingeweza kujadiliwa bila kuweka mambo ya shule hapa.naelewa, yeye kachukulia kusoma kayumba Kisha kutoboa kwa kuolewa na azizi basi ni huge life achievement
ambayo ni Bora kuliko walio Soma English medium.
kwani likud ana sema kayumba ni great kuliko em.
Ila kwa wanajamii wanao muona hamisa na life style yake, sioni Cha kuji vunia au kushangilia hapo!.
Ana wanaume 2 walio mzalisha, kaonekana kwenye tuhuma za ajabu ajabu halafu leo aje awe reference ya kayumba is great than em. big nah
binti kiziwi
mule mule, ni sawa na batilda umfananishe na hamisa !.Hamisa ni celeb/socialite njia zake za mafanikio ni tofauti na ambao sio maceleb, hivyo si busara akatumika kama inspiration kwa wote, anapaswa kutumika kama inspiration kwa wale wanatumia njia ya umaarufu kufanikiwa, hivyo hatuwezi kuwadiscourage watoto wa kike kusoma/kusoma shule nzuri sababu si lazima waje kuwa maarufu, if they will win, they will win differently.
Msimguse dada wa taifa, business man mahiri.I am so proud of you Hamisa.
This girl need to be studied.
Kasoma Kayumba kuanzia chekechea hadi form four ( Kaishia Form 4 mwaka 2010 Tandika Secondary School)
Lakini anafanya mambo makubwa kuliko wenzake ambao hawakusoma Kayumba na Wana Degree na Masters.
Wazazi tunao somesha watoto wetu tusisahau kuhusu kitu kinaitwa " Fate".
Fate is everything.
Fate cane be manipulated. How ?
By "connecting" yourself.
How do you connect yourself? ( It will be a topic for another day).
Fate ilivyo ya ajabu Kuna wadada ni graduates kabisa na wamesoma shule za private kuanzia chekechea lakini wanatamani wao ndio wangekuwa Hamisa.
Graduates wengi wa kitanzania wanafikiria kwa kutumia masomo yao shuleni na sio kwa kutumia akili zao .
Kwa mfano graduates wengi ndio wanashangaa kuona Hamisa single mother mwenye watoto wawili Kila mmoja na baba ake kuolewa na star kwa mahari ya milioni thelathini.
Hapo ndio uwezo wao wa kufikiri ulipoishia.
Ndio maana napinga sana suala la kulipia elimu ya mtaala wa Necta kwa sababu ina mkaririsha tu mwanafunzi ujinga ujinga but haitoi kilichomo ndani yake.
No value for money.
Kwa akili ya graduate wa kitanzania, Hamisa kuzaa watoto wawili Kila mmoja na baba ake ulikuwa ndio mwisho wa Hamisa.
Duh graduates wa Necta bana
# Haya sasa twende KAZI.
Moderator uzi usiunganishwe
Kumbe U malaya nao ni kazi ya kupigiwa chapuo!I am so proud of you Hamisa.

Mambo makubwa kuwa engaged na footballer wa yanga?I am so proud of you Hamisa.

Off topic,Jikite kwenye uziNINA SUGGEST JF IWE INAPIMA WATU AKILI KABLA WAJAANZA SHUGHULI YOYOTE YA KUPOST CHOCHOTE.
View attachment 3237309