Aisee mzee wa commercial huwez amini...ebu weka yote bayanaMkuu acha kabisa , tangu siku hiyo najiamini Mimi tu na nafsj Yangu siamini nafsi nyingine. Nikisema niweke niliyoambiwa huko kuhusu hawa wasanii hakuna atakaeamini hata kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sio kunywa dawa, Cnythia alimkuta anachoma ndani kwake.....akafukuzwa na kwenye kipindi akatolewa akawekwa Penny.Daah!waliongelea kuhusu kunywa dawa hamisa[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]!!daah mjini hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo lajulikana ila sio kua nampenda sana Missa hapana!!ila Wema tukubali anamchukia Misa waziwazi yaani ugomvi wa Hamisa lazima ashadadie halafu mange ndo hua anamuingiza Missa but Missa hajawahi mtukana wema labda kwa siri ila hadharani sijaskia yaani Wema anaumwa jamani na Missa kuliko ilivyo!!!Huwa unanichekesha mnoo tukija kwenye issue za missa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mara ngapi Mange anamuingiza Wema kisa Hamissa??
Huwa wanapewa maswali wote wanaoingia miss tz....maswali 5 kila mtu ili wajiandae...uliza yoyote alieshiriki miss tz labda utaratibu ubadilishwe leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti hata ufanyeje huyo mtoto hanifikii kwa chochote,kumbe ana wasiwasi na hamissan[emoji23][emoji23]Hilo lajulikana ila sio kua nampenda sana Missa hapana!!ila Wema tukubali anamchukia Misa waziwazi yaani ugomvi wa Hamisa lazima ashadadie halafu mange ndo hua anamuingiza Missa but Missa hajawahi mtukana wema labda kwa siri ila hadharani sijaskia yaani Wema anaumwa jamani na Missa kuliko ilivyo!!!
Hua wanapewa maswali ndio sikatai ila nafikiri yule alifanyiwa manuva yenyewe yotee!
[emoji23] [emoji23] Wema nampenda a anazingua sana mjini!
Seriously?! Sikusikia hiii[emoji23] [emoji23] aiseehh!!ila hawa wadada wa mjini kwa kuroga hakuna wa kumshinda mwenziwe!Hapana sio kunywa dawa, Cnythia alimkuta anachoma ndani kwake.....akafukuzwa na kwenye kipindi akatolewa akawekwa Penny.
Walikua wanaongelea issue ya wanawake kupenda waganga ndiyo wakamtolea mfano bidada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nitaamini mkuuMkuu acha kabisa , tangu siku hiyo najiamini Mimi tu na nafsj Yangu siamini nafsi nyingine. Nikisema niweke niliyoambiwa huko kuhusu hawa wasanii hakuna atakaeamini hata kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanafunzi wako kuna siku alikua anamsema wema huku mbele za watu anajidai dada angu. Wema akaja kuyapata ndio kumchukia from thenSasa kama shida Mange why amuingize Missa!hii sio Mara ya kwanza yaani wema ana chuki na hamisa!akubali kashashindwa kila Zama na wakati wake!wema sasa hivi kabaki na chakubanga tu!hana lolote
[emoji3][emoji16][emoji16]kumbe alikaririshwa majibu ya miss Tanzania hana lolote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama alitibiwa nini?Simlaumu kwenda kwa Mganga maana watoto wa mjini ndiyo zao.
Namlaumu kumpigia mganga simu ambaye huyo mganga anajuana na mama diamon na ashawahi kumtibia mama diamond....ilo ndo kosa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hujui madada wa mjini kwa kujidogodesha miaka ya kuzaliwa kiukweli ni 28 mwaka huu ila maisha ya insta ni 24 anatasema muhusika
Utauliza nimejuaje ila classmate wake ambae walijiingiza kwenye modelling yuko umri huo na walisoma tangu form 1
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukijibiwa niiteMama alitibiwa nini?
walimframe vizur sana!Inawezekana ingawa wanasema hamissa alipewa no na shoga ake.
Ila Hamissa unakumbuka wakina cynthia walimtoa kwenye show after kukutwa nyumbani kwa cynthia anafanya dawa? Yaani issue zake hapigi mahesabu vizuri anakurupuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nikajua saluni huwa mnaenda kutengeneza nywele...Hii case ya mobetto kwenda kwa waganga niliskia nikiwa saloon like one months ago nikiwa saloon, tena huyo Dada alimkuta kwa mganga, ama kweli nilikuwa najuaga watu hawaendi kwa waganga kumbe, waenda kuroga kazi ipo kwa madada duu a. K. A slay queen wa mjink
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona wema anamfanyia misa visa ujue lazima wanaconflict chini chini. Ila misa si unajua ye anajifanyaga innocent,, kumbe nyuma ni nyoka mweusiHilo lajulikana ila sio kua nampenda sana Missa hapana!!ila Wema tukubali anamchukia Misa waziwazi yaani ugomvi wa Hamisa lazima ashadadie halafu mange ndo hua anamuingiza Missa but Missa hajawahi mtukana wema labda kwa siri ila hadharani sijaskia yaani Wema anaumwa jamani na Missa kuliko ilivyo!!!
Hua wanapewa maswali ndio sikatai ila nafikiri yule alifanyiwa manuva yenyewe yotee!
[emoji23] [emoji23] Wema nampenda a anazingua sana mjini!