Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

Daah!waliongelea kuhusu kunywa dawa hamisa[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]!!daah mjini hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sio kunywa dawa, Cnythia alimkuta anachoma ndani kwake.....akafukuzwa na kwenye kipindi akatolewa akawekwa Penny.

Walikua wanaongelea issue ya wanawake kupenda waganga ndiyo wakamtolea mfano bidada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa unanichekesha mnoo tukija kwenye issue za missa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mara ngapi Mange anamuingiza Wema kisa Hamissa??

Huwa wanapewa maswali wote wanaoingia miss tz....maswali 5 kila mtu ili wajiandae...uliza yoyote alieshiriki miss tz labda utaratibu ubadilishwe leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo lajulikana ila sio kua nampenda sana Missa hapana!!ila Wema tukubali anamchukia Misa waziwazi yaani ugomvi wa Hamisa lazima ashadadie halafu mange ndo hua anamuingiza Missa but Missa hajawahi mtukana wema labda kwa siri ila hadharani sijaskia yaani Wema anaumwa jamani na Missa kuliko ilivyo!!!

Hua wanapewa maswali ndio sikatai ila nafikiri yule alifanyiwa manuva yenyewe yotee!

[emoji23] [emoji23] Wema nampenda a anazingua sana mjini!
 
Eti hata ufanyeje huyo mtoto hanifikii kwa chochote,kumbe ana wasiwasi na hamissan[emoji23][emoji23]
 
Hapana sio kunywa dawa, Cnythia alimkuta anachoma ndani kwake.....akafukuzwa na kwenye kipindi akatolewa akawekwa Penny.

Walikua wanaongelea issue ya wanawake kupenda waganga ndiyo wakamtolea mfano bidada.

Sent using Jamii Forums mobile app
Seriously?! Sikusikia hiii[emoji23] [emoji23] aiseehh!!ila hawa wadada wa mjini kwa kuroga hakuna wa kumshinda mwenziwe!
 
Sasa kama shida Mange why amuingize Missa!hii sio Mara ya kwanza yaani wema ana chuki na hamisa!akubali kashashindwa kila Zama na wakati wake!wema sasa hivi kabaki na chakubanga tu!hana lolote

[emoji3][emoji16][emoji16]kumbe alikaririshwa majibu ya miss Tanzania hana lolote

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanafunzi wako kuna siku alikua anamsema wema huku mbele za watu anajidai dada angu. Wema akaja kuyapata ndio kumchukia from then
 
Hivi hujui madada wa mjini kwa kujidogodesha miaka ya kuzaliwa kiukweli ni 28 mwaka huu ila maisha ya insta ni 24 anatasema muhusika
Utauliza nimejuaje ila classmate wake ambae walijiingiza kwenye modelling yuko umri huo na walisoma tangu form 1

Kweli aisee
 
Wadada wa mjini na waganga loooohh jaman.... Kumbe hakuna pu*** so good tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hamisa mwanga kumbe😂😂😂😂😂😂

Mwanga mwanga mwanga
 
Inawezekana ingawa wanasema hamissa alipewa no na shoga ake.

Ila Hamissa unakumbuka wakina cynthia walimtoa kwenye show after kukutwa nyumbani kwa cynthia anafanya dawa? Yaani issue zake hapigi mahesabu vizuri anakurupuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
walimframe vizur sana!
ankal ndo aliigiza kama mganga!
wacha ajimalize!ahahahahhaa
 
Hii case ya mobetto kwenda kwa waganga niliskia nikiwa saloon like one months ago nikiwa saloon, tena huyo Dada alimkuta kwa mganga, ama kweli nilikuwa najuaga watu hawaendi kwa waganga kumbe, waenda kuroga kazi ipo kwa madada duu a. K. A slay queen wa mjink

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nikajua saluni huwa mnaenda kutengeneza nywele...
 
Hilo lajulikana ila sio kua nampenda sana Missa hapana!!ila Wema tukubali anamchukia Misa waziwazi yaani ugomvi wa Hamisa lazima ashadadie halafu mange ndo hua anamuingiza Missa but Missa hajawahi mtukana wema labda kwa siri ila hadharani sijaskia yaani Wema anaumwa jamani na Missa kuliko ilivyo!!!

Hua wanapewa maswali ndio sikatai ila nafikiri yule alifanyiwa manuva yenyewe yotee!

[emoji23] [emoji23] Wema nampenda a anazingua sana mjini!
Ukiona wema anamfanyia misa visa ujue lazima wanaconflict chini chini. Ila misa si unajua ye anajifanyaga innocent,, kumbe nyuma ni nyoka mweusi
 
Back
Top Bottom