Ndo tatizo lake yaani atukanwe na Mange akamtukane hamisa halafu skendo ya uchawi imezimwa na Wema kulala na Ivan yule Dada bwana kaah!!Kwa anachokifanya Nyumbu ni kupuyanga tu.ameonesha wazi huma anaumizwa na Missa Kuzaa na Chibu
Eeehh!hapa hapa Mungu analipa bwanaa!! Cha mtu huliwa na mtu cha chuma huliwa na kutu!!Kabisaaa. Yani nje she is innocent reality sasa.
Kama aliweza kumtunza zari kwenye 40 ya mwanae huku anakulana na bwana ake kisirisiri atashindwa mengine. Sema malipo ni hapa hapa duniani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] alikuibia mumeo hamisa?!!Nikiangaliaga ile video. Mimi kama mwanandoa,,huwa najisi uchungu sana,, nahisi kumchukia huyu dada alimuumiza sana mwenzie,,
Jana mume wangu hajuagi hzi habari ila kwa furaha ,,nilimsimulia ,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa si mmeachana tayarii!!mi napotezea bora mumeo..bwana tu hapana!!hata km ntaumia ntasamehe!Shoga yako akikuibia bwana utajisikiaje sema tu ukweli toka moyoni anajitapa wana miaka 9 while nawewe ulikuwa unacheka naye kumbe alikuwa anakukula kisogo
Kimyaaaaaa!!mji wote Hamisa anaonekana shujaaa[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]Wema ashki zote zimemuisha kimbelembele tupa kulee!nampendaga Wema ila ananiboaga hapo tu kutaka awe yeye juu!Ila mange ni noma.kawazimia kiki wamebaki icu
Wameripoti misukule imefutwa kaliwa na Ivan week nzima bibie South Huko alienda na kadinda lengo amrushe roho Zarina Hassana Tlale[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kaambuliwa kuliwa akawa anamtuma Kadinda amuombe pesa Ivan...hakupewa bibie hah[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!mjini sihamiii!Huwezi amini ya Ivan imenipita....da mange alisemaje kuhusu Don?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wit una nini!! Eeh Mungu weee!aiseeh Mange hapana ile degree yake ni ya michambo sijui anayotaga wapi Yale maneno kaahhIla Mange bana!....eti muna kamuuza wema kwa wacongo wiki, muna karudi na Prado afuu wema karudi na ndoo ya sh.h.wa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji86] [emoji86] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...yule mmama akikuchamba unaeza kutaka kujiua!
Ahahaa umesahau govi la marehemuWameripoti misukule imefutwa kaliwa na Ivan week nzima bibie South Huko alienda na kadinda lengo amrushe roho Zarina Hassana Tlale[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kaambuliwa kuliwa akawa anamtuma Kadinda amuombe pesa Ivan...hakupewa bibie hah[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!mjini sihamiii!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alimfanyia nini zari? Zari alimuacha mume na watoto watatu akamfata mtoto mdogo unaona ni haki? Hata zari karma yake ilimpata mapema zaidiHamisa karma yake imempata mapema fedheha aliyopata sio ya nchi hii kila mwanaume atamuogopa, jinsi alivo mfanyia Zarina aisee, mwanaume kuchepuka tu inaumiza, sasa mchepuko ndo awe chizi ka Hamisa mbona utajutraa, Hamisa next time aache nyodo na wapenzi wa watu.
Huwez jua alimuacha kwann.... Afu zari hakuachwa aliachaAlimfanyia nini zari? Zari alimuacha mume na watoto watatu akamfata mtoto mdogo unaona ni haki? Hata zari karma yake ilimpata mapema zaidi
Numbisa wangu yule binti nilitoka kukuuliza juzi juzi tu kwenye ule uzi wa side kid kuhusu kumroga domo kumbe kweli[emoji23]
Mm namuombea kwa Mungu apate mume na ajengee ili aache kujidhalilisha kwa kwenda kwa kamgambile.Binti limemshuka shuuuu,wanakamati full vicheko mtetezi kabaki mmoja tu nae kachanganyikiwa hajui amchambe nani amuache nani
Mm namuombea kwa Mungu apate mume na ajengee ili aache kujidhalilisha kwa kwenda kwa kamgambile.
Ameweka Bundle la mwaka anahama page tuNdo tatizo lake yaani atukanwe na Mange akamtukane hamisa halafu skendo ya uchawi imezimwa na Wema kulala na Ivan yule Dada bwana kaah!!
Zari Leo anacheka kichina!
Hii case ya mobetto kwenda kwa waganga niliskia nikiwa saloon like one months ago nikiwa saloon, tena huyo Dada alimkuta kwa mganga, ama kweli nilikuwa najuaga watu hawaendi kwa waganga kumbe, waenda kuroga kazi ipo kwa madada duu a. K. A slay queen wa mjink
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui stress aliyomuachia mume na watoto.mpaka mume kafa sio mchezo.hawezi kuwa na amani tena.