Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

Kabisaaa. Yani nje she is innocent reality sasa.
Kama aliweza kumtunza zari kwenye 40 ya mwanae huku anakulana na bwana ake kisirisiri atashindwa mengine. Sema malipo ni hapa hapa duniani.
Eeehh!hapa hapa Mungu analipa bwanaa!! Cha mtu huliwa na mtu cha chuma huliwa na kutu!!
 
Nikiangaliaga ile video. Mimi kama mwanandoa,,huwa najisi uchungu sana,, nahisi kumchukia huyu dada alimuumiza sana mwenzie,,

Jana mume wangu hajuagi hzi habari ila kwa furaha ,,nilimsimulia ,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] alikuibia mumeo hamisa?!!
Mtunze mumeo shosti asiibiwe na hata kama akiliwa usimjue mke mwenzio!!
 
Shoga yako akikuibia bwana utajisikiaje sema tu ukweli toka moyoni anajitapa wana miaka 9 while nawewe ulikuwa unacheka naye kumbe alikuwa anakukula kisogo
Sasa si mmeachana tayarii!!mi napotezea bora mumeo..bwana tu hapana!!hata km ntaumia ntasamehe!
Kinamuuma mtoto tu!
 
Ila mange ni noma.kawazimia kiki wamebaki icu
Kimyaaaaaa!!mji wote Hamisa anaonekana shujaaa[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]Wema ashki zote zimemuisha kimbelembele tupa kulee!nampendaga Wema ila ananiboaga hapo tu kutaka awe yeye juu!
 
Huwezi amini ya Ivan imenipita....da mange alisemaje kuhusu Don?
Wameripoti misukule imefutwa kaliwa na Ivan week nzima bibie South Huko alienda na kadinda lengo amrushe roho Zarina Hassana Tlale[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kaambuliwa kuliwa akawa anamtuma Kadinda amuombe pesa Ivan...hakupewa bibie hah[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!mjini sihamiii!

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ila Mange bana!....eti muna kamuuza wema kwa wacongo wiki, muna karudi na Prado afuu wema karudi na ndoo ya sh.h.wa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji86] [emoji86] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...yule mmama akikuchamba unaeza kutaka kujiua!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wit una nini!! Eeh Mungu weee!aiseeh Mange hapana ile degree yake ni ya michambo sijui anayotaga wapi Yale maneno kaahh
 
Mange mpumbavu

Wema mshenzi

Hamisa mpuuzi

Mama dai bandidu

Esma shankupe

Dai snitch tu

Nawewe unaenisoma hi comment lofa tu.

(Ona ulivyonuna ...povu hilo ngoja nilidake) chaaaa!!!
Sawa wewe mwerevuu
 
Wameripoti misukule imefutwa kaliwa na Ivan week nzima bibie South Huko alienda na kadinda lengo amrushe roho Zarina Hassana Tlale[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kaambuliwa kuliwa akawa anamtuma Kadinda amuombe pesa Ivan...hakupewa bibie hah[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!mjini sihamiii!

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahahaa umesahau govi la marehemu
 
Hamisa karma yake imempata mapema fedheha aliyopata sio ya nchi hii kila mwanaume atamuogopa, jinsi alivo mfanyia Zarina aisee, mwanaume kuchepuka tu inaumiza, sasa mchepuko ndo awe chizi ka Hamisa mbona utajutraa, Hamisa next time aache nyodo na wapenzi wa watu.
Alimfanyia nini zari? Zari alimuacha mume na watoto watatu akamfata mtoto mdogo unaona ni haki? Hata zari karma yake ilimpata mapema zaidi
 
Amen. Pia aache maisha ya ndoto na kukubali sifa zisizo zake kama hapa
40264257_2212425582369319_7394950439469372700_n.jpg
Mm namuombea kwa Mungu apate mume na ajengee ili aache kujidhalilisha kwa kwenda kwa kamgambile.
 
Hii case ya mobetto kwenda kwa waganga niliskia nikiwa saloon like one months ago nikiwa saloon, tena huyo Dada alimkuta kwa mganga, ama kweli nilikuwa najuaga watu hawaendi kwa waganga kumbe, waenda kuroga kazi ipo kwa madada duu a. K. A slay queen wa mjink

Sent using Jamii Forums mobile app

Wanawake wengi si wa bongo movie tu ila asili kubwa ya wanawake hapa Bongo wanaroga tena sana tu. Huyu Hamisa si kama kasingiziwa, anaroga haswa ili apendwe na familia ya Diamond kisha aolewe. It's very pathetic for her, penzi lahina dawa, Mama yake ilibidi amwambie kuhusu hili.
u
 
Back
Top Bottom