Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
- Thread starter
- #341
Ndo tatizo lake yaani atukanwe na Mange akamtukane hamisa halafu skendo ya uchawi imezimwa na Wema kulala na Ivan yule Dada bwana kaah!!Kwa anachokifanya Nyumbu ni kupuyanga tu.ameonesha wazi huma anaumizwa na Missa Kuzaa na Chibu
Zari Leo anacheka kichina!