Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

Wengi walishasema ni kwa sababu anashindana na Zari wakati hana kitu, kwa kweli Hamisa kajikaanga mwenyewe.
Ashindane na Zari kivipi?

Zari ana 36 yeye ana 25 wapi na wapi!

Kaka hebu kaa tu kimya ndugu yangu!hakuna asiyeambiwa mchawi sasa kwa taarifa yako hata Zari aliambiwaga mchawi bibi Sanura akasemaga kigoma hatoki boii!!
 
Maisha ya maigizo yalimshinda Wema na sasa yanelekea kumshinda Hamisa, tena vibaya sana. Hili liwe fundisho kwa mademu wa kibongo, ya nini kung'ang'ania penzi usilostahili, khaaaa?
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]naona ex wa hamisaa akipunguza maumivu!!
 
Aliroga azae na Mondi ili apate kisingizio cha kutunzwa na kuwekwa mjini, hakurdhika na hilo anataka mpaka kumfanya msukule Mama yake Mondi, jamani Hamisa anatisha tena zaidi ya jambazi jeusi.
Ex wa hamisa wewe wallahi!!poleeee!!!
 
Hapa mjini nilikua na bibi yangu anaitwa Bi Asia anakaa mbagala Rangi 3...!!wadada wa mjini wa enzi hizo walikua wanamtumia!kuna bibi mmoja anakaa kizuaina Nina,Sintah ndo alikua mganga wao!
Nora aliolewa na Ngw'izukulu jilala mganga walianza kutibiana kwanza! Mjini hapa hakuna asie mwangaa
Ana mloga mtu mwenyewe chibu anavosifika kwa ushirikina usio wa kawaida
 
Hapo kutekenywa
[emoji23] [emoji23] kuna watu walikua wanamtetea wanasema eti mzungu kaaah!nilichoka balaa!na ameumizwa kweli
 
Asilimia kubwa sana aisee hyo haishangazi kabisa kwa madada duu wanaopenda mtelezo wa ganda la ndizi
 
Hapo kutekenywa
[emoji23] [emoji23] kuna watu walikua wanamtetea wanasema eti mzungu kaaah!nilichoka balaa!na ameumizwa kweli
Yani ufiwe na mamako ujipodoe vile hata kumlilia jamani, ki Africa watu huwa tunalilia wapendwa wetu mda, sasa yeye ni kukumbatiwa ndo akajiona kamiliki dunia yote kilichokuja kumkuta hata kaa asahau maisha yote, wanaume si wakuwaamini kiasi ushindwe kuwalilia mzazi wako
 
Kuna watu wana roho ngumu jamani!! Sijapata on a!msibani unafanya Yale Mungu kamuonyesha Kofi moja matata!
Tena msiba wa mzazi wako!hapana alikosea
 
Kuna watu wana roho ngumu jamani!! Sijapata on a!msibani unafanya Yale Mungu kamuonyesha Kofi moja matata!
Tena msiba wa mzazi wako!hapana alikosea
Alinishangaza alifanya hivo kumuonyesha diamond kuwa ana mpenda akashindwa kumlilia had Ivan matokeo yake anamkumbuka wakati hayupo. Yani sipati picha chibu mwenyewe angekuwa mamake I'm sure atazimia sasa yeye kujiona ana roho ngumu ka Iddi Amin huleta mahaba msibani, matokeo yake kaitwa kima.
 
Asilimia kubwa sana aisee hyo haishangazi kabisa kwa madada duu wanaopenda mtelezo wa ganda la ndizi
Kuna kipindi hamisa alilorogwa kweli kabisaa na mama diamond alivyotoka kujifungua vile alikua chizi kabisaa!!
Akapelekwa tangaaa..kutibiwa nnae jirani yangu namuita aunty ana rafiki yake anakaa magomeni walienda Tanga wakakutana nao wanatibiwa so suala La uchawi bongo movie ni la wote vilinge vyote vya mjini wanavijua!

Mama diamond mwenyewe sio mchache!!tena yule ndo mkuu wa vilinge!Bongo movie wanajifanya kuwaita masheikh wawaombee dua kumbe ndo wanga wenyewe hao pale wanakua wanasomewa albadiri na Yale makafara wanalisha watoto yatima ndo inatakiwa maana mtoto hana kinyongo ukimpa anakuombea dua kweli kweli!!
 
Hyo ya Misa kuchanganyikiwa niliskia aisee ndo alipelekwa had mbagala, mama chibu naye mwenzake hajapona operation unamuongezea ukichaa kah. Hii familia ya Dangote nao ni wanga IPO siku nao wataumbuliwa tu kuanzia diamond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…