[emoji1] [emoji1] [emoji1] kweli wanaume wasio walevi huwa hawachoki kazini wako makini sana tu.Diamond hanywi wala kuvuta,kwa hiyo anaonekana anatulia sana nakua makini akiwa kazini
Uzi wa kike huu umbea umbea tu
Mkuu mbona nawe umeingia choo cha kike?
Sent using Jamii Forums mobile app
ungetuwekea na izo voice note ingependeza zaidiKazi kweli mjini hapa zimevuja voice notes za Hamisa akiongea na mganga amroge Diamond na wazazi wake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila kwa akili yangu fupi sauti sio kabisaa ya Hamisa yaani wamejitahidi kuipindisha kweli kweli ionekane kuwa Hamisa ndo alompigia simu mganga ila hapana nakataaa yani sauti wala sio yeye wameipika!
Halafu sauti ya kiume ni Juma Lokole anasikikaa!! Ama kweli binadamu sio kabisaaa, akikuchukia bora uchukiwe na simba kuliko mtu!
Hamisa go girl, endelea kung'ara wave vizuri tumia umri wako vizuri kabisaa siku itafika ukweli utadhihirika!
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh tutapona kweli?Aisee acha tu kuna ya kulishwa maji ya maiti hiyo from kondoa/singida huyo mwanaume haachii labda huyo maiti afufuke
kama ni uongo usimshauri akae kimya,mwambie atoke hadharani kupinga na kuwafikisha mahakamani Sandra na binti yakeBinafsi nilipoanza kusikiliza hizo clip wanazodai ni Hamisaanaongea na Mganga. Ila akili yangu imekataa kukubali ni sauti ya Hamisa. Ila Hamisa sasa hivi anapita kwenye magumu mengi namuonea hadi hiruma. Nadhani kuwa kimya kutamfanya aweze kuishinda hii vita.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii case ya mobetto kwenda kwa waganga niliskia nikiwa saloon like one months ago nikiwa saloon, tena huyo Dada alimkuta kwa mganga, ama kweli nilikuwa najuaga watu hawaendi kwa waganga kumbe, waenda kuroga kazi ipo kwa madada duu a. K. A slay queen wa mjink
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia haina siri kuna mdada nikiwa saluni mastorry ya mule sasa alikutana naye huko miezi zaidi ya miwili, though hizi voice not ndo sijuiMi nawaambieni kutokana na figisu za kina mama daimond kwa hamisa hata siamini naona uzushi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii case ya mobetto kwenda kwa waganga niliskia nikiwa saloon like one months ago nikiwa saloon, tena huyo Dada alimkuta kwa mganga, ama kweli nilikuwa najuaga watu hawaendi kwa waganga kumbe, waenda kuroga kazi ipo kwa madada duu a. K. A slay queen wa mjink
Sent using Jamii Forums mobile app
Haponi mtu,siku hizi kila mwanamke hapa mjini ana mganga wake mpaka vitoto vya shule,mkibadilishana namba tu anapeleka jina kwa babuDuuh tutapona kweli?
Aisee wanajua mitaa ya waganga hatari, sio mbagala tu na kwingine sijui wa nafanya hivo ili.iwejewakati amejifungua kuna mtu alimkuta mama ake kwa mganga mbagala
Inawezekana ingawa wanasema hamissa alipewa no na shoga ake.
Ila Hamissa unakumbuka wakina cynthia walimtoa kwenye show after kukutwa nyumbani kwa cynthia anafanya dawa? Yaani issue zake hapigi mahesabu vizuri anakurupuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume mtapata tabu sana aisee ni kuwa makini na vyakula Maji Maji, hafu hali ikiwa ngumu ndo wanaongezeka, kuna Dada ni nurse wa hospital anasema huwa wanapewa hela na madada duu wawape cjui kondo la uzazi na vtu vya ajabu, eeeh nilivoskia nilichoka sanaHaponi mtu,siku hizi kila mwanamke hapa mjini ana mganga wake mpaka vitoto vya shule,mkibadilishana namba tu anapeleka jina kwa babu
Sidhani kama kutoka hadharani kupinga kunasaidia na hiyo Familia wanajikutaga wao ndiyo wao. Kama ni uchawi Huyo Sandra na Binti yake wakiri hawajawahi kufanya.kama ni uongo usimshauri akae kimya,mwambie atoke hadharani kupinga na kuwafikisha mahakamani Sandra na binti yake
Kuna taarifa kwamba Hamisa alianza juhudi za mapema ku pre empt situation kwa kutuma watu watangaze kuwa kuna interview ya sauti,anatakiwa mwenye kufanana sauti nae ili atumike kumchafua.
Ili asafishe jina anatakiwa akanushe na aende Tcra,yeye ni balozi wa mitandao.
Hakuna mwanaume mwenye akili timamu atamsogolea mwanamke mchawi
Natamani angeweza kufanya hivyo. Asiwe na mazoea yoyote natamani hata Dylan afanye wasionane kabisa. Hamisa anaweza akiamuaUnajua mwanaume mwenye busara kwa hili angekaa kimya tu akaacha mama yake aongee weee basi ,angekaa kimyaa ndio maana mama daimond ana kiburi na kusema ye ndio final say maana wanaelewana sana na mwanae hadi kwenye mambo ya kipuuzi wanasikilizana tu
Mi ningekuwa Hamisa ningefanya kitu cha kuweka mipaka na familia ya mond,kuanzia mond mwenyewe akae nae mbali walee mtoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lipo kwa Hamisa ana chaguo aidha apambane kulinda image yake imeshuka hadi 0%,au aendelee kujinasibu tu kua yeye ni msichana kana kwamba umri kwake hausogeiSidhani kama kutoka hadharani kupinga kunasaidia na hiyo Familia wanajikutaga wao ndiyo wao. Kama ni uchawi Huyo Sandra na Binti yake wakiri hawajawahi kufanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani unadhani ni kweli? Ile sio familia. Tunawaona kama watu lakin kiukwel wale n ndugu kabisa na shetani.Mi nawaambieni kutokana na figisu za kina mama daimond kwa hamisa hata siamini naona uzushi tu
Sent using Jamii Forums mobile app