Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

Hamisa Mobetto na wakwe zake washikana uchawi

Kwa hiyo unaona poa kwa dada yako Hamisa kuwa mchawi? Huyu demu kila mtu anamzungumzia kuwa ni staa uchwara anayeroga wenzie na kutaka kuwa juu kupitia nguvu za giza. Fikiria aje kuroga kaka yako na ukoo wako mzima ili mumpende changudoa, wewe utamfikiriaje mchawi kama Hamisa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] dear EX poleee mwanaume mwenye chuki km wewe ni shidaa
 
Swali hili ilibidi ujiulize wewe, kwa nini ashindane na Zari wakati she's too young, useless and brainless mpaka atumie nguvu za giza? Huwezi ishi mjini kwa kung'ang'ania kuolewa na mtu asiyekutaka kwani hakuna mwanamme anayetaka kuwa na mwanamke anayezaa na wanaume tofauti tofauti as Hamisa is. Mwache aroge tu mwisho wake atauona mwenyewe kwani kuna wanaume wengine hawarogeki.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani wewe una chuki tu na Hamisa huna lolote!
Utapata tabu sanaa!
Sio level yako yule !nakupa pole tena!

Acha wivu wa kike!
 
Hamisa sijawahi kukutongoza hata siku moja, wacha kujipa ujiko. Nenda karoge tu uzidi kukamatwa na jamii ikucheke. Umempa Mama yako haibu mbaya sana kwa uchawi huu ulionao.
Unaumwaaa!wivu mbaya jamani!

Hamisa hakutaki kwanza huna lolote upo kama jogoo wa kuchorwa vile!!lazima umchukie!mwanaume una haiba ya kike akutake nani!!!hamisa hakutakii[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]!!!

Shosti poleeeeee!!
 
Sijawahi toka wala kumtamani Hamisa na kwa janga hili alilojipatia wala hawezi kunidindisha kamwe. Ajipige vidole tu mwenyewe.
Hutakiwiiiii!!!pambana na hali yako kaka!!hakutaki shosti mwenzie anataka wanaume wanaojitambua
 
Hamisa alimpaga papuchi mcheza mpira mashuhuri apa bongo tena kwa kujipendekeza ndo nilikaona ka zwazwa tena jamaa alitoka kukala akaja anasimuli mtaa mzima na mapicha juu
 
Hamisa alimpaga papuchi mcheza mpira mashuhuri apa bongo tena kwa kujipendekeza ndo nilikaona ka zwazwa tena jamaa alitoka kukala akaja anasimuli mtaa mzima na mapicha juu
Huyo Jamaa ni shoga.ni mwanaume shoga tu anaeweza kuelezea mambo hayo
 
Zari alishadate wanaume kadhaa kabla ya kukutana na naseeb!
MSIMPATILIZE UBAYA ASOKUWA NAO!
KHAAA! ANA NYODO ZAKE ILA HAKUACHA MUME NA WATOTO WA TATU ILI AWE NA HUYO KD WENU!
Na huko ndiko karma ilikoanzia.mbaya zaidi mume alikuwa anamuomba arudi nyumbani.
 
Diamond ni woman molester, huwezi kuweka tuhuma kwa mtu hadharani bila ushahidi wowote, iandikwe petition kwa serikali za uingereza, marekani, Canada kuzuia hawa woman molesters kuingia nchi zao atashika ajabu, mnyanyashaji mkubwa huyu
 
Serikali za magharibi kisa diamond haaas
 
Ka hamisa kachawi lakini
Uchawi mbona kawaida hyooo!!anaroga undertaker seuse hamisaa!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kila mtu na madhaifu yake!wengine wanajifanya watakarifu kumbe Hamna lolote rogeni na nyie kama kazi rahisi!![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Hamisa alimpaga papuchi mcheza mpira mashuhuri apa bongo tena kwa kujipendekeza ndo nilikaona ka zwazwa tena jamaa alitoka kukala akaja anasimuli mtaa mzima na mapicha juu
[emoji3][emoji3][emoji16]kawaida hyooo mbona shosti angu!!

Wewe unaonekana kabisaa wachukia mafanikio ya watu!mwanamke una chuki hvyoo!

Eti mchawi si yeye na we karoge basi tukuone!
 
Back
Top Bottom