Mmmh kwahiyo baba wa mtoto anaitwa Naseeb ?? Basi sawaHamisa hajasema mtoto ni wa Dai, jina Abdul Naseeb ni la kiislam kila mtu anaweza kulitumia. Mwache ajitafutie kick apate matangazo Instagram
Inaonekana wakiwa faragha jamaa anampa maneno matamu,akitoka tu anakanaNdio yaleyale kutwa kumpost Mwanaume lakini mwanaume anapost mwanamke mwingine wewe unaona unamkomesha mwanamke Mwenzio kumbe unajikomesha Mwenyewe tangu Hamisa aanze drama zake chibu kakaa kimya. Kuna wanawake wana mioyo migumu Kama Hamisa kulialia ndoa hadharan wakat unayemlilia Hana habar na wewe au mliliee mkiwa wawili. Ukija kuweka hadharan waja hatuamini mpaka chibu athibitishe.
Anataka aendeleee kuzungumziwaWanashindanaga upuuzi tu,,,ila kwanini daimond anamkana mtoto?mi nahisi huyu mtoto baba ake mwingine kabisa,kama dai ni wake ina maana anamuogopa zari
na zarina ni jiwe la mtoni hawez kukubali huyu mtoto amtoe nje ya madale hata afanyaje zari ni wa diamondhamisa na sampuli ya wanawake michepuko ambayo kutwa kusubiri mke halali aachike aingie yeye halafu mbaya zaidi anakutana na mwanamke mwenye akili iliyokomaa atoki mtu zaidi mtoto atalelewa tu na kuishia kujutia maamuzi ya kuzaa na mtu asiyekupenda.... hamisa ni muda sasa utulie mapenzi hayalazimishwi dai yupo kwa zari kwa ajili ya biashara the same na zari wale wamejijenga zaidi nje ya mapenzi... sasa mama dai aje kwako zaidi ya kukata kiuno huna la zaida aisee sijui labda ukamloge dai.. nikiangalia kwa jichola tatu hamisa jiandae kisaikolojia
kabisa zari mtu wa mahesabu .. sidhani kama anaweza kuwa mjinga hivyo eti aachane na dai kisa mchepuko ah hahahana zarina ni jiwe la mtoni hawez kukubali huyu mtoto amtoe nje ya madale hata afanyaje zari ni wa diamond
Hill la mwisho ndo jibu yule bibi wa kiganda ana limbwata moja matata alifanya mpaka domo kamsahau Wema kipenzi chake itakuwa hamisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaona watu wamemkomalia kuhusu mtoto kaamua aue soo akaja na kiki mpya yaani huyu tushamzoe bila kiki mambo hayaendi
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mond akisema anaachana na zari mtu wa kwanza kurudi ni Wema maana pamoja na mane no yote lkn hajawahi kumtukana Wema wala kumuongelea vibaya zaidi zaidi anamsifia kwenye nyimbo zake na akiulizwa kama bado anampenda Wema huwa hatoi jibu la yes au No, hamisa namuonea huruma hataki kuamini kwamba ye kwake ni mchepuko tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mnalazimisha mondi amuache zari ina maana mmeo akizaa nje ndo unaachika acheni kuharibu mahusiano ya watu, haf wanawake msitegemee kuzaa na mtu ndo usababishe aache mpenz wake hyo msahau
Sent using Jamii Forums mobile app
yaan haiwezekani hata kama ni mm simuachi hawa vishkwambi wa uswazi wamshinde mama yule for what ?kabisa zari mtu wa mahesabu .. sidhani kama anaweza kuwa mjinga hivyo eti aachane na dai kisa mchepuko ah hahaha
haiwezi tokeayaan haiwezekani hata kama ni mm simuachi hawa vishkwambi wa uswazi wamshindwe mama yule for what ?
Si bora chidy Benz ya 3 itakua ya Harmorapa kabisa[emoji3] [emoji3] [emoji3]Alee mtoto ajiandae na mimba nyingine kutoka kwa chidy Benz
zari ana moyo kama mawe hawezi kumuachia huyu kisweleswele mume never............... halaf kwanini zari asichukue ujuzi kwa lulu ndo kiboko ya mabetoMbona mnalazimisha mondi amuache zari ina maana mmeo akizaa nje ndo unaachika acheni kuharibu mahusiano ya watu, haf wanawake msitegemee kuzaa na mtu ndo usababishe aache mpenz wake hyo msahau
Sent using Jamii Forums mobile app
alafu bila haya anasimama huko insta anajitaba ilhal mond anamkataa babo hana nguvu yoyote ya kushindana na zarinaIncubator watu wanaweka tu sperm zao