Mtoto kakosa babah
alafu bila haya anasimama huko insta anajitaba ilhal mond anamkataa babo hana nguvu yoyote ya kushindana na zarina
Nlikaonea huruma majizo alvokaacha kumbe kanastahilizari ana moyo kama mawe hawezi kumuachia huyu kisweleswele mume never............... halaf kwanini zari asichukue ujuzi kwa lulu ndo kiboko ya mabeto
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Alee mtoto ajiandae na mimba nyingine kutoka kwa chidy Benz
beauty with no brains inaelekea kana majamboz yake ya kichinichini majuzi kati kakazusha majizo anamrudia kamuacha lulu kumbe kana kazwa na mondNlikaonea huruma majizo alvokaacha kumbe kanastahili make ni kajinga
Ha ha ha acha azalishwe tu na baba tofauti tofauti ndo analowezabeauty with no brains inaelekea kana majamboz yake ya kichinichini majuzi kati kakazusha majizo anamrudia kamuacha lulu kumbe kana kazwa na mond kunguru wa mbagala
Hahahahaaaaaaa. NimechekaWeeee hamisa aolewe na mondi???? Ntakunya kilwa mpk dsm ....uyo hamisi wako kama anatafuta mume mwambie best nasso anataka kuoa aende akachukue nafasi huko msiiiiiew
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan ni mwanamke mjinga tuu atakaye haribu mahusiano yake kisa mume kazaa njeyaan haiwezekani hata kama ni mm simuachi hawa vishkwambi wa uswazi wamshinde mama yule for what ?
haswaaa na huyo mond pia atakuwa kichaa kumuacha zarina aende kwa hamisaYaan ni mwanamke mjinga tuu atakaye haribu mahusiano yake kisa mume kazaa nje
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kama alivomwita hamisa "bitch"?? Sasa kumbe kipindi cha jokate lkn baadae c walirudiana hao ?? Wale wanapendana wote sema ndo ivoWema kadhalilishwa mara nyingi tu na dai,kumbuka lile tamasha la dai la kiingilio sh 50000 enzi hizo jokate ndo kashika usikan kwa dai,nadhan unakumbuka dai alimfanyia nn wema. Wema akirudi kwa dai atakamilisha ule usemi wa kwamba yeye ni nyumbu
Hizo nyimbo anazoimbiwa ni dhihaka tu
Kina jokate na penny alikuwa nao alipoachana na Wema kwa Mara ya kwanza baadae walirudiana Wema akamuacha ndo akaenda kwa zari, kwa nn diamond huwa hatoi jibu la moja kwa moja anapoulizwa kuhusu Wema ,?? Wale walipendana kweli sema ustaa tu ndo unawasumbuaMakubwa,kabla ya dai kuwa na zari si alishakuwa na jokate na penny,wema zilipendwa alimuacha mwenyewe eti anaibiwa nyota,hio nyota aliyoachiwa hadi wa leo imemsaidiaje
Mnaamini sana uchawi ila mshana jr akitoa threads zake za ulozi mnamsakama aisee
U never know labda kuna malipo maana kiki zilianzia kwenye salomeKama ni kiki basi hamisa ni mjinga kutumika bila malipo
Hata mm hiyo nimeisikiaMbona naskia zari anaolewa na mond siku ambayo ni bday ya mobeto
Zari na mond hawana ndoa kwahiyo hamisa na zari wote wamezalishwa nje ya ndoaWasioolewa shangweee ila walioolewa wanajua maumivu anayopitia zari hats kama iwe hajapelekwa msikitini lakini vaa kiatu cha zari halafu usikie mme kazaa nje ya ndoa na huyo mzalishwaji anajifanya shababi uzuri wake naye anamtoto wa kike pia siku hazigandi hawala hana urithi zari ni strong lady hayumbishwi na mawimbi
narudia tena na neno langu si sharia lakini wale waliondani ya ndoa hakuna anae furahia ili wasio na ndoa mkija kuolewa mtaelewa tuweke timu na utaifa pembeni Africa ni ndugu,
haya ngoja nipambane na kutafuta vyakwangu .......kutafuta majority sympathy am sorry[emoji23][emoji23]
Mond yuko kwa zari kimaslahi hilo liko wazi kabisa kwahiyo akienda kwa hamisa hawez pata chochote so wataishia kukazana tu na kuzalishanahaswaaa na huyo mond pia atakuwa kichaa kumuacha zarina aende kwa hamisa
U never know labda kuna malipo maana kiki zilianzia kwenye salome
Sent using Jamii Forums mobile app
NA ZARI ATATUMIA MASLAHI HIYO KUMDHIBITI HAWA VISHKWAMBI WATAENELEA KUKAA HUKOOO MAMA MJENGO ATAKUWA ZARI WENGINE WATAISHIA KUHANGAIKA INSTAMond yuko kwa zari kimaslahi hilo liko wazi kabisa kwahiyo akienda kwa hamisa hawez pata chochote so wataishia kukazana tu na kuzalishana
Ila mapenzi ya kulazimisha nayo yana kero zake jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23] na hasa ukiwa mwanamke unatumia hela et kumuwin mwanaume inauma aiseeNA ZARI ATATUMIA MASLAHI HIYO KUMDHIBITI HAWA VISHKWAMBI WATAENELEA KUKAA HUKOOO MAMA MJENGO ATAKUWA ZARI WENGINE WATAISHIA KUHANGAIKA INSTA