[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mara paap Jf inageuka kuwa insta
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe lazima mumeo kazaa nje na hivyo hujui hata kusaka pesa zako upo unamshikilia na kumsaidia kulea watoto wa nje. Mwanamke mvivu hasie na akili za kujisimamia ndio atakubali mumewe azae nje nae akae tu kimya.. unatia aibu kisikitikie... kumbe upo hivyo lelelele duh usiniambukize hayo ya kukaaa shimoni kisa huna hata akili ya kujiingizia sh 1. Pita hukoooooo msaidie kulea hao wa nje. Zari mke wa Diamond.. sisi tunasoma international news jamani wanamuita hivyo aoooooo.. two kids.. house.. car etc wifey huyoooo
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weeee hamisa aolewe na mondi???? Ntakunya kilwa mpk dsm ....uyo hamisi wako kama anatafuta mume mwambie best nasso anataka kuoa aende akachukue nafasi huko msiiiiiew
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu Uzi unawazungumzia watu wa 3 hamisa, zari, mond na kati ya hao wote siko side yoyote maana naona wanacheza na akili zenu tu kisa kuna nyimbo mpya imetoka au inataka kutoka , ila hili la uteam kuna kuwa team Fulani na kumpenda mtu, kama kumpenda mtu ndo kuwa team Fulani bas Niko, team Wema, team Lulu, team jokate, team flaviana, team jk, team lowasa n.k maana hao nawapenda tu
Hope umeridhika kuwa Nina team
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nakumbuka mwanzo kuna mtu nilimjibu kwamba sio hamisa wala zari mwenye ndoa watoto wote ni wa nje ya ndoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna watu wapuuzi wanalazimisha zari mke ovyo kwa dini wote hao malaya huyo zari Amisa na huyo domo wao mke k iko mitandaoni hata vichaa wanajua naona hawajui thamani ya mke hawa
Nimekugusa haswa umebaki mataaa nimekusomaje ulivyo... ha ha haaaa
Kuwa mwanamke sio msubiria.. hata shule nenda kasome ujiongeze.
CIAO
Mmmh jamani acheni hayo mambokama kaka yangu anaoa mwanamke wa aina hii na undugu namkataa
Yaan mnatoleana mapovu yote hayo kisa zari,hamisa na diamond?Wewe lazima mumeo kazaa nje na hivyo hujui hata kusaka pesa zako upo unamshikilia na kumsaidia kulea watoto wa nje. Mwanamke mvivu hasie na akili za kujisimamia ndio atakubali mumewe azae nje nae akae tu kimya.. unatia aibu kisikitikie... kumbe upo hivyo lelelele duh usiniambukize hayo ya kukaaa shimoni kisa huna hata akili ya kujiingizia sh 1. Pita hukoooooo msaidie kulea hao wa nje. Zari mke wa Diamond.. sisi tunasoma international news jamani wanamuita hivyo aoooooo.. two kids.. house.. car etc wifey huyoooo
Yaan mnatoleana mapovu yote hayo kisa zari,hamisa na diamond?
Heheje wanawake bana dah
Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe mara moja moja unakuwaga na akili eeeeh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh
Inaelekea wewe umeanza kuwasoma juzi mambo yao au unataka kulazimisha kwa kuandika uongo humu.. wakati threads tulizisoma humu juu ya Diamond kuachana na Wema.. pale harudi hata kwa bunduki.
Pia haya ya kulazimisha watu nanuongo peleka huko insta ukadanganye wenzako.. kila unachoandika humu inaonyesha unamuonea wivu Zari hadi unavuzika haswa. Hamisa ametemwa bwaaaaaaa hadi kuwasema familia nzima ya D. Kaa ulie umeguswa wewe kwa kuhusika na hao unajaribu kuwatetea. Wivu.com be a GT hata kidogo kwa kuununua basi
kama kaka yangu anaoa mwanamke wa aina hii na undugu namkataa
Nadahani wewe ndio shule ndogo umenigusa wapi nimekupa ukweli wako wewe tegesha k umbambikie watu uzae ili upande mjengo bira hata domo kakusitiri maana ivan alikuweka kwenye ki apartment ovyo
Aiseee umepiga penyewe naona povu limemtoka mhusika hahaahaa
kama kaka yangu anaoa mwanamke wa aina hii na undugu namkataa
Yaan mnatoleana mapovu yote hayo kisa zari,hamisa na diamond?
Heheje wanawake bana dah
Sent using Jamii Forums mobile app