Hamisa Mobetto ndiyo mke mtarajiwa wa Diamond, Zari asahau!

Hamisa Mobetto ndiyo mke mtarajiwa wa Diamond, Zari asahau!

Huu uzi watu mmetoa mapovu balaa utafikiri hao wakina Mond...Zari...Hamissa na Wema wanawalipa[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • 1503418401850.jpg
    1503418401850.jpg
    31.1 KB · Views: 62
Aiseee umepiga penyewe naona povu limemtoka mhusika hahaahaa
Wewe lazima mumeo kazaa nje na hivyo hujui hata kusaka pesa zako upo unamshikilia na kumsaidia kulea watoto wa nje. Mwanamke mvivu hasie na akili za kujisimamia ndio atakubali mumewe azae nje nae akae tu kimya.. unatia aibu kisikitikie... kumbe upo hivyo lelelele duh usiniambukize hayo ya kukaaa shimoni kisa huna hata akili ya kujiingizia sh 1. Pita hukoooooo msaidie kulea hao wa nje. Zari mke wa Diamond.. sisi tunasoma international news jamani wanamuita hivyo aoooooo.. two kids.. house.. car etc wifey huyoooo
 
Weeee hamisa aolewe na mondi???? Ntakunya kilwa mpk dsm ....uyo hamisi wako kama anatafuta mume mwambie best nasso anataka kuoa aende akachukue nafasi huko msiiiiiew

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Team wema bana
Huu Uzi unawazungumzia watu wa 3 hamisa, zari, mond na kati ya hao wote siko side yoyote maana naona wanacheza na akili zenu tu kisa kuna nyimbo mpya imetoka au inataka kutoka , ila hili la uteam kuna kuwa team Fulani na kumpenda mtu, kama kumpenda mtu ndo kuwa team Fulani bas Niko, team Wema, team Lulu, team jokate, team flaviana, team jk, team lowasa n.k maana hao nawapenda tu

Hope umeridhika kuwa Nina team

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna watu wapuuzi wanalazimisha zari mke ovyo kwa dini wote hao malaya huyo zari Amisa na huyo domo wao mke k iko mitandaoni hata vichaa wanajua naona hawajui thamani ya mke hawa
Mm nakumbuka mwanzo kuna mtu nilimjibu kwamba sio hamisa wala zari mwenye ndoa watoto wote ni wa nje ya ndoa

Sent from my A500s using JamiiForums mobile app
 
Mama Sabrina nakuamini wewe shilawadu wa mjini hebu nipashe kidogo basi...

Nami nisiachwe njiani... hapa mjini eti
 
Wewe lazima mumeo kazaa nje na hivyo hujui hata kusaka pesa zako upo unamshikilia na kumsaidia kulea watoto wa nje. Mwanamke mvivu hasie na akili za kujisimamia ndio atakubali mumewe azae nje nae akae tu kimya.. unatia aibu kisikitikie... kumbe upo hivyo lelelele duh usiniambukize hayo ya kukaaa shimoni kisa huna hata akili ya kujiingizia sh 1. Pita hukoooooo msaidie kulea hao wa nje. Zari mke wa Diamond.. sisi tunasoma international news jamani wanamuita hivyo aoooooo.. two kids.. house.. car etc wifey huyoooo
Yaan mnatoleana mapovu yote hayo kisa zari,hamisa na diamond?
Heheje wanawake bana dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh
Inaelekea wewe umeanza kuwasoma juzi mambo yao au unataka kulazimisha kwa kuandika uongo humu.. wakati threads tulizisoma humu juu ya Diamond kuachana na Wema.. pale harudi hata kwa bunduki.

Pia haya ya kulazimisha watu nanuongo peleka huko insta ukadanganye wenzako.. kila unachoandika humu inaonyesha unamuonea wivu Zari hadi unavuzika haswa. Hamisa ametemwa bwaaaaaaa hadi kuwasema familia nzima ya D. Kaa ulie umeguswa wewe kwa kuhusika na hao unajaribu kuwatetea. Wivu.com be a GT hata kidogo kwa kuununua basi
kumbe mara moja moja unakuwaga na akili eeeeh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


safi sana.
 
Kumbe zari ana tako kubwa hivi sasa zile kelele za kusema kaweka vigodoro za nn sasa huhuhuuu picha za kutengeneza bana
3c3d6d82d1ea614b7834f63fed657f41.jpg
kama kaka yangu anaoa mwanamke wa aina hii na undugu namkataa
 
Nadahani wewe ndio shule ndogo umenigusa wapi nimekupa ukweli wako wewe tegesha k umbambikie watu uzae ili upande mjengo bira hata domo kakusitiri maana ivan alikuweka kwenye ki apartment ovyo

Ha ha haaaa
Unaumia maish ya Zari.. inaelekea hata mume huna ulijitega kama hamisa na haujui pia baba wa mtoto... eeeh so Zari alikuwa anaisi wapi!!! Na nyumba iliyona jina lake na Ivan.. plus ya Ivan na yake pia si unaona sasa hivi hizo mensheni zote zinaingiza pesa tu.. oooh pole kalale sasa siwezi kuwa hata 0.00001% ya wewe na wewe huwezi kwangu kwa 0.0000000001%.. usiniambukize wivu shaaaaa.. nacheka oooh wivu.com kumfollow unamfollow hadi unak9ma.. wewe ni fan wake haswa.
 
3c3d6d82d1ea614b7834f63fed657f41.jpg
kama kaka yangu anaoa mwanamke wa aina hii na undugu namkataa

Ha ha haaaa
Kumbe hata picha za watu zinakuamlia ooooh... utaweza kumuamulia kaka huku wanaume wanakukimbia eeeeh... akikupiga mabao njoo uniambie... jiongeze mwanamke wewe.. ID yako tu inaonyesha mengi juu yako. Ha ha haaaa
 
Back
Top Bottom