Sangizi
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 1,942
- 4,230
Abdul kama ni mpenda hizo mambo hakuna aliyepona sasa hivi 😃Akitoka kimapenzi na Abduly wa Samia uje utuletee taarifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Abdul kama ni mpenda hizo mambo hakuna aliyepona sasa hivi 😃Akitoka kimapenzi na Abduly wa Samia uje utuletee taarifa.
Uzi wa mwenzio unakuja na condition zako mkuu, si ungefungua wako bwana TAI DUMEKiufupi umeweka codes nyepesi mno kwenye Uzi ambao Hauna impact Wala mdhara yoyote kwako wala kwa public. Niliusoma nikaona ni ubuyu wa kipiuzi tuu ambao hukupaswa kuuwekew codes za kizembe. Injinia anakuogopesha nini mpaka ujibane bane kwenye Uzi wako. Wacha utoto
Kigogo huyo anayetanguliwa Kwa Jina la Taaluma yake ( Engineer Hersi) unashindwaje kufungua code nyepesi kama hiyoKama hujamtaja huyo kigogo kwa jina na upo jf basi siusomi huu Uzi maana itakuwa udaku kama udaku wa FB tuu
Sura sio roho.Engineer Mbona Ni MTU loyal, very humbe ni mtu anae onyesha Ni muislam Safi na Alie lelewa kwenye maadili mema..
Na Dube je?Nakupa za ndani tena, Guede muwahi kabla hajaondoka nchini. Maana mkataba wake ulikuwa wa miezi 6 na viongozi hawana mpango nae tena. Wapo hatua za mwisho kumalizana na Baleke.
Kwa picha hii Uzi umekosa validity 😂😂
Dube, walituma inquiring letter kama wanaweza kumpata kwa mkopo, azam wakawatolea nje, wao wanataka kumuuza tu. Nadhani watarudi tena waone wanawezaje kumnunua hata kama ni kwa kulipa kwa awamu, maana 400M za kuwapa azam zote kwa pamoja hawana saivi.Na Dube je?
Sawa Fabrizio RomanoDube, walituma inquiring letter kama wanaweza kumpata kwa mkopo, azam wakawatolea nje, wao wanataka kumuuza tu. Nadhani watarudi tena waone wanawezaje kumnunua hata kama ni kwa kulipa kwa awamu, maana 400M za kuwapa azam zote kwa pamoja hawana saivi.
Ngoja kwanza....Sasa yule demu wa Azizi anajisikiaje akiona Misa kama ananyapia au anaujua mchezo wote??Yani wakati napewa hii taarifa na mimi niliwaza hivyohivyo, kwakweli inauma.
Tatizo nyie ni vigeugeu. Kuna siku nilileta habari ya wasanii wawili hapa nikaweka majina yao waziwazi mlinisema sana mara nitavunja ndoa za watu sijui nini.Boss dollars zilivo ngumu kupatikana sasa hivi na hizi info uwekee code si hatari hii 😃
Sijashindwa kufunguka code. Ishu ni mleta Uzi hakuwa na haja ya kumficha huyo kigogo na wakati hamisa amemuexposeKigogo huyo anayetanguliwa Kwa Jina la Taaluma yake ( Engineer Hersi) unashindwaje kufungua code nyepesi kama hiyo
Siku akipanda daladala au mwendokasi amekwisha nikimuona tu sitapoteza muda, fasta nitaingiza mistari iliyoshiba na iliyotukuka!View attachment 3005811
Mwanadada mrembo, mwanamuziki, mwigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga.
Mwanadada huyo na Kigogo wapo katika penzi la kificho kwa takribani mwezi wa pili sasa.
Penzi lilimea SA, Ubuntu Botho!
Wawili hao walikutana kwenye ndege wakati wa kuelekea kwenye mechi ya marudiano ya mashindano ya Klabu Bingwa Afrika, CAFCL dhidi ya miamba ya Soka ya Afrika ya Kusini Mamelody Sundowns.
Kigogo huyo kijana mwenye haiba ya kitanashati na mwenye sifa kuu tatu wazipendazo zaidi wanawake kutoka kwa wanaume… tall, dark and handsome jina lake hutajwa kwa kutanguliwa na taaluma yake.
Inataarifiwa kwamba wawili hao walizama penzini punde tu walipokutana kwenye ndege, na hadi kutua S.A penzi lilishachipua!
Taarifa zaidi zinasema hata uwanjani walienda kwa gari moja, na walikaa jukwaa moja!
Aziz Ki atumika kuokoa jahazi!
Mwamba kutoka Ouagadougou, Stephen Aziz Ki anatajwa kutumika kuinusuru ndoa ya Kigogo huyo wa Yanga mara baada ya mkewe kushtukia mchezo.
Kama mnavyotujua wabongo huwa tunanyimana michongo ila sio umbea, taarifa zilimfikia mke wa Kigogo ambaye aling’aka na kupelekea ndoa kuwa rehani!
Mwamba Aziz ambaye anatajwa kama mchezaji pendwa zaidi na Kigogo huyo klabuni hapo, ilibidi atumike kutengeneza mapichapicha ya kumpoza mke wa Kigogo.
Ndio yale mliyoona mara wako pamoja wakitokea uwanja wa ndege, wakikumbatiana uwanjani na kwingineko yote yale ni maigizo, Ki hana mahusiano ya aina yoyote na Hamisa bali alitumika kumnusuru boss na mshkaji wake kuepuka dhahma kutoka kwa mke wake.
Penzi hatarini kuvunjika muda wowote!
Baada ya wambea kumsanua mke wa Kigogo, inasemekana wapenzi hao wako hatarini kuachana muda wowote kutokana na suala hilo kumkalia vibaya Kigogo.
Mke wa Kigogo ni dada wa anayetajwa kama mfadhili wa taasisi anakofanyia shughuli zake Kigogo. Hilo linamuweka pabaya zaidi Kigogo kwani endapo akiendelea kutoka na mrembo huyo kimapenzi huwenda kibarua chake kikawa hatarini kwani mfadhili hatoweza kuvumilia kuona dada yake akinyanyasika juu ya penzi hilo la mumewe na Hamisa.
Hamisa kiboko, sio mchezo!
Jamani Hamisa apewe kombe lake, ikishindikana basi hata maua maana anastahili. Ndani ya miaka hii mitatu ameshatoka na vigogo kutoka kwenye klabu zote 2 kubwa nchini, achilia mbali kuzaa na wanaume wawili maarufu na wamiliki wa redio 2 kubwa nchini!
Hapo kabla alianza kutoka na Kigogo kutokea Simba, japo penzi lao lilikuwa mithili ya upepo kwani halikudumu.
Lakini licha ya kutodumu, penzi hilo lilitumika kama chambo kumpatia Mwijaku ajira Simba.
Chanzo changu nyeti kimesimamia show,
Nifah.
Atakuwa huyo wa kwanza toka upande wa kulia maana sifa zote zilizotajwa anazo!
Aiseee kumbe sisi wengine tukiongeza jitihada kidogo tu tutaiona pepo? Kumbe Misa nae firauni? Nilikuwa namuonaga innocent! Dah
Mano likwelikwe poa poa Mange kimambi Nifah fungua moja basi JihanAiseee kumbe sisi wengine tukiongeza jitihada kidogo tu tutaiona pepo? Kumbe Misa nae firauni? Nilikuwa namuonaga innocent! Dah
Sheria ya code huwezi kufunguliwa na aliyeileta, wewe pitia posts jamaa niliyekuwa naongea naye anaweza kukusaidia.