Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Karibu Tena jukwaani 😎😍Hata body language ya huyo kigogo na bi harusi ukumbini ni wazi walishakulana, hakuwa anajiamini kabisa na bi harusi aliinama kwa haya baada ya kigogo kupewa nafasi aseme neno,