Hamisa Mobetto penzini na Kigogo wa Yanga!

Hata body language ya huyo kigogo na bi harusi ukumbini ni wazi walishakulana, hakuwa anajiamini kabisa na bi harusi aliinama kwa haya baada ya kigogo kupewa nafasi aseme neno,
Hata wakati wa kutoa neno la shukrani angalia jinsi ilivyokuwa vigumu Hamisa alipofika kwenye kutamka jina Kigogo, na zaidi Kigogo ni kama sauti ilikauka wakati wa kumtaja Hamisa. Ni wazi kigogo kaumia na ana wivu.

Ngoja nikwambie, wakati Aziz alipoamua kula nyama aliyopewa ailinde Kigogo alimblok Ki, ndio zile texts uliona zimevuja juzi Aziz akilalamika.

Hamisa naye alikuwa anataka kuolewa, na kwa kigogo asingeipata ndoa ndio akamgeuka. Kigogo amekuja kuongea na Ki tena juzi kati tu hapa na Kigogo amefanya basi tu maana home nako kuligeuka vitani suala la Hamisa kidogo limpe kichaa mke wake.
 
Hahahaha,aisee
 
Haya yote yako wazi kwa wenye D mbili na jicho la tatu, Ki mwanzo alitumika kuziba skendo lakini nae ndo akanasa mwanamke alihitaji kuolewa na ni wazi hampendi huyo kaka ila alitaka kuwakomesha wabaya wake na kutoa gundu, asingeweza kuacha kuitumia hiyo fursa ya yeye kuolewa maana kwa haraka haraka hamna mwanaume maarufu ambae angetangaza ndoa pale
 
Hahahaha,
 
Mwenyewe alisema siku ya harusi kwake kwamba wakati Azizi anamtamkia kumuoa hakuamini maana alishakata tamaa ya kuolewa!

Ila nini, mi nampendaga na namtakia kheri adumu kwenye ndoa yake atulie asitudhalilishe.
 
Hii ndoa kudumu inahitaji kudra za mwenyezi Mungu! Ki akienda nchi nyingine kucheza mpira Hamisa hawezi kutulia.
 
Mwenyewe alisema siku ya harusi kwake kwamba wakati Azizi anamtamkia kumuoa hakuamini maana alishakata tamaa ya kuolewa!

Ila nini, mi nampendaga na namtakia kheri adumu kwenye ndoa yake atulie asitudhalilishe.
Wacha tusubiri tuone, maisha ya wacheza mpira ni mafupi na ligi yetu haina maslahi kihivyo nae yule kashazoea maisha makubwa mwanamke wa hivyo kutulia sio rahisi sana
 
Katika sector ya upapalazi wewe bado Sana umbea ubahitaji uwe smart Sana Kama Mange na sio hivi unaokoteza taarifa na hauna source
 
Hata wakati wa kutoa neno la shukrani angalia jinsi ilivyokuwa vigumu Hamisa alipofika kwenye kutamka jina Kigogo, na zaidi Kigogo ni kama sauti ilikauka wakati wa kumtaja Hamisa. Ni wazi kigogo kaumia na ana wivu.

Ngoja nikwambie, wakati Aziz alipoamua kula nyama aliyopewa ailinde Kigogo alimblok Ki, ndio zile texts uliona zimevuja juzi Aziz akilalamika.

Hamisa naye alikuwa anataka kuolewa, na kwa kigogo asingeipata ndoa ndio akamgeuka. Kigogo amekuja kuongea na Ki tena juzi kati tu hapa na Kigogo amefanya basi tu maana home nako kuligeuka vitani suala la Hamisa kidogo limpe kichaa mke wake.
Acha ujinga wewe kijuso Kwa kuhisi hisi mambo siyokuwa na msingi WTF

Wanawake wakiswahili mnazeeka na chuki
 
Wacha tusubiri tuone, maisha ya wacheza mpira ni mafupi na ligi yetu haina maslahi kihivyo nae yule kashazoea maisha makubwa mwanamke wa hivyo kutulia sio rahisi sana
Acha kukariri maisha Ukiachana kuwa Mobeto kawazidi akili ila kawazidi na maono
 
Mmemponza Azziz.
Ipo siku atakumbuka zile Ng'ombe 😂
 
Back
Top Bottom