Hamisa Mobetto penzini na Kigogo wa Yanga!

Mhindi nasikia hahongagi, alijipigia akapita hivi......afu huyu dada itakuwa upstairs empty, anampenda wanaume wenye status lakini mbona wanaume wakishajipigia wanapotea ghafla🤣 husiano halifiki hata krismas mbili Yani, wanapotea
Mobetto angetembea na jamaa lazima angeshika mimba.

Chezea mobetto wewe
 
Darling, wanandoa wapya ni watu ninaowapenda na kwa kuwa wameoana mengine tuyaache tuheshimu ndoa yao.

Yapo ya kusema ambayo busara yangu imenituma kukaa kimya na kuwatakia kheri, na ndoa yao idumu...
Amen!
Nifah
Hapa kubali kataa Source yako ilikuingiza cha kiume bila maji wala tissue

Aziz na Hamisa ni true lovers

Pia wiki kadhaa nyuma ulitulisha tango pori kuhusu ndoa ya Diamond na Zuchu

Piga chini hio tomato Source yako, Block kabisa na muunfollow on all social platforms
 
Well!
Kwahiyo, kwa akili zako hizi unaona haiwezekani Hamisa kutoka na Kigogo kisha aolewe na Aziz?

Hivi nyie Hamisa mnamjua vizuri? Muulizeni Diamond ndio atawapa habari zake, tena atawashangaa sana!

Mnafikiri hadi Diamond kwenda kumpima mtoto DNA alikuwa kichaa?

Narudia tena, simlazimishi yeyote kuamini ninachoandika acheni kunisumbua. Huamini acha kabisa usisome.
 
M

Mahari ya ngombe 30 na million 30 ni nyingi sana!kutohusishwa kwa mama wa Azizi ki kunasadifu ulichoandika!!

Kigogo kafanya bonge la spinning!!!
 
Nifah
Hapa kubali kataa Source yako ilikuingiza cha kiume bila maji wala tissue

Aziz na Hamisa ni true lovers

Pia wiki kadhaa nyuma ulitulisha tango pori kuhusu ndoa ya Diamond na Zuchu

Piga chini hio tomato Source yako, Block kabisa na muunfollow on all social platforms
Kwa Diamond na Zuchu alisemaje?
 
Well!
Kwahiyo, kwa akili zako hizi unaona haiwezekani Hamisa kutoka na Kigogo kisha aolewe na Aziz?

Hivi nyie Hamisa mnamjua vizuri? Muulizeni Diamond ndio atawapa habari zake, tena atawashangaa sana!

Mnafikiri hadi Diamond kwenda kumpima mtoto DNA alikuwa kichaa?

Narudia tena, simlazimishi yeyote kuamini ninachoandika acheni kunisumbua. Huamini acha kabisa usisome.
Hata body language ya huyo kigogo na bi harusi ukumbini ni wazi walishakulana, hakuwa anajiamini kabisa na bi harusi aliinama kwa haya baada ya kigogo kupewa nafasi aseme neno,
 
Back
Top Bottom