Hamisa Mobetto umekosea kuongea na waandishi JKIA

Walivujisha video za Hamisa akiwa kwa mganga ili kumdhalilisha, Zari alimuita Hamisa ‘low life’.

Jamani muacheni Mungu aitwe Mungu.
 
[emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]ila watu wa Jamhuri mna nini..!!![emoji3][emoji16][emoji16][emoji23]mmechekaa!
 
Yaass!wabongo kwa wivu tumelaaniwa..tuna choyo sanaa!siku zote ukiwa chini wanakucheka ukifanikiwa wananuna sana na kutaka kukuharibia!
 
I love you!!![emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji7][emoji8][emoji8][emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji7]
 
Salute nyingi sana kwako.
 
Akili za usiku
 

Hivi kuna mtu anaweza kupeleka image mbaya ya mtu mwingine ili aharibu? Anakua anafaidika na nini akifanya hivo
 
Eti huna makuu....?!
 
Mama njoo tuyajenge...!! Naamin hutajutia
 
Nakuja pm mama mwenye status unayotaka umepata...

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Umemaliza kila kitu!!! Thread ifungwe.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…