Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Walivujisha video za Hamisa akiwa kwa mganga ili kumdhalilisha, Zari alimuita Hamisa ‘low life’.Hakuna mtu ambae hana past hata huyo RR ama past zake akiwa kibongeee mbaya lakini kajiweka sawa na kawa kawaida.
Nyie wanaume mkae mkijua ndo mnatufanya tubadilike.diamondi alimuonesha dharau sana hamisa, mama yake diamond akamuona hamisa kama shetani, sasa mtoto wa kike kapanda dau.
Sio kwamba nashabekia haya mambo ila najua hamisa amesimangwa sana.
Mimi ni mtu wa kawaida sana sina makuu yeyote ila nikiamua kuwa kimahusiano na mtu basi jua huyo mtu anajiheshimu na sio mtu wa kuchukulia poa.yaani lazima nihakikishe hata tukiachana ila moyoni sina majuto. Siwezi date mtu ambae nikitoka kwake anakuja kupost hapa.yaani sina status yeyote ila nina ka class kangu kadogo ambako mtu hawezi kukaona kuirahisi. Sema watu nadatigi nao ni ngumu kuwapata naweza maliza miaka 2 niko single😂😂😂 nikimpata basi moyo unasuuzika. Yaani sijuti.
Itoshe kusema kuwa status unajipa mwenyewe.
Hamisa al the best maisha yenyewe haya haya. Kuwa na grade
Jamani muacheni Mungu aitwe Mungu.