Hamisa na Majizzo warudiana

Waache wazinzi na waasherati, wafanye uzinzi na uasherati wao.
 
Sanaa!uzuri kagutuka mapemaaa jua linawaka before miaka 25
Huwa siamini kama hajafikisha 25, ila kahangaika acha katusue mpaka nigeria alikitembeza mpaka akawa anasemwa na watoto wa mujini kuwa hana bahati.
 
Huwa siamini kama hajafikisha 25, ila kahangaika acha katusue mpaka nigeria alikitembeza mpaka akawa anasemwa na watoto wa mujini kuwa hana bahati.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mpk naijeri looh!
Hamisa kamaliza form four 2011 au 2012 kama sikosei yaani hazidi hapo sema watoto wa mjini umalaya wanaanza form one

Dada angu asikuambie mtu hawa wadada wa mjini hakuna msafi au wa kumcheka mwenziwe hata mmojaaa!!!

Wote ndo wale wale!
 
Heee binamu! Makubwa haya. Sasa kijana wa Tandale inakuwaje tena. Mi nina wasiwasi hata yule mtoto mdg Dully siyo wa Diamond maana wako tofauti kabisaaa
 
Ndo nikuulize kilichokuwasha ku comment kama umeona haikuhusu, umbea tu ndo unapenda mxieww sura kama chupi ya nandy umbea tu
duh! nandy ya chupi!er chupi ya nandy!
 
Ndio maana mastaa wa kiume wa bongo wanaoa nchi jirani,wanawake wa bongo wa wanagawa ovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…