Hamisi Kigwangalla: Hatujui Dkt. Bashiru alirudisha lini kadi ya CUF. Hatujui namba ya kadi yake ya CCM

Sijawahi kuona mtu mwenye akili za mbwa Koko kama huyu mnyamwezi alielelewa na mama hadi ukubwani Hamis wa kufoji, ana kiu na uwaziri, status imeshuka sana.
 
Issue niii... mbona bwana Kakurwa alikua hakosoi harakati za Jiwe.
Nafiri hoja ujibiwa kwa hoja sio kwa hoja isiyokuwepo.Ukienda mahakamani ukaambiwa umeiba na jitetee.Ww unasema jirani yangu nae aliniibia Jana.Utakuwa haujajibu hoja.
 
Kigwangala anachowaza kichwani ni teuzi tuu, yupo radhi kufanya chochote ili akumbukwe.
 
Kigwangala ni mganga wa kienyeji, ukiacha jina feki analotumia hata mwanae alimtoa kafara
 
Hatutaki tena tena ule upuuzi tafadhalini, fanyeni mfanyavyo ila hamrudi tena mjueeee
 
Kwahio CHAMA chake hakifuati hata Kanuni walizojiwekea ?

Huu ni Utetezi au kuendelea kujipaka Matope ? Huenda Bashiru sio Malaika ila kwenye Kundi la Shetani huenda akawa ahueni; au huenda na yeye ni Shetani ndio maana kila mara tuangalie Hoja iliyopo Mezani na sio Mtoa Hoja....

Siwezi nikaziba masikio kwa alert ya Ndugai kuhusu kuuzwa sababu mtoa Kauli na yeye ni Dalali / Muuzaji
 
Hivi kazi ya mbunge ni ipi ?.kutetea serikali au kutetea wananchi?!.kadi yake ya Chama Cha Mapinduzi aliichukuwa lini, hatujui hata kadi yake ya CUF aliirudisha lini?
 
Sidhani kama huko chuo kikuu watampokea tena maana nako wamejaa makada watupu
 
Sidhani kama huko chuo kikuu watampokea tena maana nako wamejaa makada watupu
Ataenda hata nje,au atajikita kwenye uchambuzi wa masuala ya siasa.Bashiru wa kabla ya kuingia madarakani,ni tofauti na huyu wa sasa,pesa anayo ya waziwazi na ya sirini.
 

Baada ya kukosa uteuzi kwenye Serikali ya Samia Suluhu Bwana Hamis Kigwangalla ameamua kuonyesha yupo bega kwa bega na Samia Suluhu ili apate uteuzi. Juzi kaitisha mkutano na waandishi wa habari kumpinga na kumkemea Bashiru ili aweze kuonekana. Hamis Kigwangalla anabaki kuwa msomi wa hovyo mwenye kashfa nyingi za ufisadi toka akiwa Waziri wa Maliasili na Utalii .Benchi limemchosha sasa ameona ni bora aanze kumlamba matako aliyepo madarakani huenda akapata uwaziri.​

 

Attachments

  • DkAbENAXcAYMqrW.jpg
    68.2 KB · Views: 2
  • ass-kisser.jpg
    15.4 KB · Views: 1
  • asskisser.jpg
    15.2 KB · Views: 1
😟😟😟😟😟😟
 
Kingwangwala kawa chawa anadhani mama atampa tena ulaji wa pori kwa pori, alishaonja asali, si ajabu Mo alimpiga za uso, Kingwangwala tapeli na mla rushwa alitumia mamilioni ya pesa pale wizara ya utalii kwa kujifanya ana promote utalii, badala ya mabango kuweka vivutio yeye akaweka lisula lake zito, leo hii bila soni nae anajifanya muadilifu na mtiifu kwa mamlaka! huyu si ndie aligombana na hata katibu mkuu wake kwa ulafi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…