Aliondoka Dj Fetty sasa karudi. Clouds ipo
Akaondoka Gadna na sasa amerudi. Clouds ipo
XXL kuna vipaji halisi pale. Yule dogo Perfect ataziba pengo lake..
Efm huku haisikiki kupitia Radio mbao hatutamsikia tena Du!Kiukweli mandi ni jamaa ambaye ana kipaji lakini sio creative, angeondoka Baba Jonii lingekuwa pigo kubwa maana yeye ndo jicho lao ktk upande wa ubunifu. Kila la heri Mandi u was born to shine men, go and shine out there.
XXL ni kipindi chenye vipaji vingi mno,
Pale kuna
Adam Mchomvu
Fetty
Kennedy the remedy
hao wote hawashindwi kuendesha kipindi.
Chuki ndio kigezo kikuu cha kuwa mtanzaHa ha perfect
Ana uelewa gani'?
Jonijo sio kwa sababu ya dau Bali wasafi walimpa kipaombele Sana Lily ommy na kucancel kipindi Cha block 89 ambacho kilikuwa chini ya jonijo hiyo ndio sababu imechangia yeye kuondoka ila sio kwa sababu ya dauDau mazee..
Jonijo kumtoa usafini sio jambo dogo..
Jamaa kunakitu wanalenga..
Jonijo sio kwa sababu ya dau Bali wasafi walimpa kipaombele Sana Lily ommy na kucancel kipindi Cha block 89 ambacho kilikuwa chini ya jonijo hiyo ndio sababu imechangia yeye kuondoka ila sio kwa sababu ya dau
Sawa diva kaondoka Nani kafit nafasi yake? Walimjaribu meena Ally akashindwaHalafu mi naona huyo jamaa atapotea wale clouds sijui wan nini si mnaona Diva tumemsahau fasta maana alijiona kile kipindi hakiwi kitamu kama hayupo.
Naona umeamisha hoja yako fasta next time usiwe unaropoka kitu ambacho ujuiWew dogo acha ujinga wako hapa, mada n b12 na efm..
Chuki ndio kigezo kikuu cha kuwa mtanza
Dozen hajakaa kishoga kabisa.Hawa wapuuzi wakishaokoteza taarifa za mitandaoni basi wanajikuta wanamjua mtu nje ndani
Aliyepandikiza mbegu yaDozen hajakaa kishoga kabisa.
Wanamsingizia tu naona!!Aliyepandikiza mbegu ya
Husuda
Chuki
Wivu
Kwa watz na alaaniwe
Naona umeamisha hoja yako fasta next time usiwe unaropoka kitu ambacho ujui
Wewe na yeye hamna tofautiUnajikutaga msemaj wa wasafi kumbe boya tu. Ujuaji mwng kumbe hakuna ulijualo..
Adam Ni mropokaji na Hana sifa za kuhost,fetty hayupo kwenye Xxl Tena so kipindi kitadorora Sana huyo Kennedy ajafika hata nusu ya bdozenXXL ni kipindi chenye vipaji vingi mno,
Pale kuna
Adam Mchomvu
Fetty
Kennedy the remedy
hao wote hawashindwi kuendesha kipindi.
Mm sijui nimeumia sijui najisikiaje hata sijajielewa bado
HahahahahahahahahUnajikutaga msemaj wa wasafi kumbe boya tu. Ujuaji mwng kumbe hakuna ulijualo..
Dozen hajakaa kishoga kabisa.
None of my business!Lol, none taken,
Kwani unawajua bebes wake wote?
Kwa lipi? Mimi nilichokikataa ni wewe kusema UONGO dhidi ya Mandi.You sound jealous hadi nimekushangaa,
Hiki ndicho ulichokisema ulitegemea nikujibu nini?Eti sina zile tabia zako, lol nani amekuuliza kuhusu wewe?
Hili swali lako ndo likafanya niandike sina tabia kama zako.Mbona kama mmeumia kujua ana babe?
LMAO! i don't care!Na utakuaje na tabia zangu ikiwa mapacha tu hawawezi kua na tabia sawa, [emoji23][emoji23]
[emoji2380]